Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mwanza ya kawaida Sana afu nyie wenyewe huko Tanzania mnakazana kuipa hadhi ya jiji.
Hovyo kabisa!!
Hovyo kabisa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kwenu Jiji gani kwanza tujue usije kua una comment afu unaishi kibondo ndani maporini ukoEti kangaye ,eti Temeke ..Temeke Kuna uswazi [emoji849][emoji849]..kwanza hyo Temeke unajua ipo mtaa gan
Leo wagogo wameamua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanza ya kawaida Sana afu nyie wenyewe huko Tanzania mnakazana kuipa hadhi ya jiji.
Hovyo kabisa!!
Gogo la Chang'ombe hiloBinafsi nilipokuwa naisikia Mwanza ni tofauti kabisa na ule ushuzi nilioukuta pale. Hakuna mpangilio hata wa barabara achana na makazi halafu kuchafu sana
Kuna sehemu chafu kuliko chadulu,mail mbili katikati,ipagala,kizota,chan'gombe,ntyuka,hazina kwa mama masonyenyi kwenye pombe chafu ingia nzuguni ndani uone uswazi dodoma hapo karibu na bunge penyewe full uswazi mji una centre moja tu kama njombe huduma zote mpaka muende one way sehem za starehe eti nyerere Square .Binafsi nilipokuwa naisikia Mwanza ni tofauti kabisa na ule ushuzi nilioukuta pale. Hakuna mpangilio hata wa barabara achana na makazi halafu kuchafu sana
Samahani, huu ndiyo utambulisho wako?? Yaani ni kuuliza maswali tu katika nyuzi zote! Halafu ukijibiwa huridhiki! Utauliza tena! Au unafanya utafiti?? Narudia tena samahani!Hapo kweli umesema Mkuu kwa hio Makulu hakuna Maji kabisa au yanamtoka kwa vipindi siku baada ya siku?
Hiyo mitaa ndio unayoijua? Halafu unajisemea unaijua Mwanza, unachekesha aise au unataka tukutoe tongotongo?Wewe shidayako unaleta ushabiki badala ya facts....Kwa taarifayako hata Dom kuna mitaa bado ina slums kwamfano Chaduru,Chang'ombe,Kizota ila tofauti na slums za Mwanza ni kwamba za Dom hata kama ikitokea ajali ya moto au majanga ya asili zinafikika na gari la zimamoto na moto utazimwa kwa wakati kwasababu ya mpangilio na miundombinu tofauti na Mwanza ambapo mitaa mingi(ukitoa Capri Point) ni full uswazi utadhani mabanda ya nguruwe hakuna barabara za mitaa yaani hata barabara kuu za kuingia mjini bado ni shida.
Angalia kwamfano Mabatini Igogo, igoma,nyakato sokoni, kangaye, kitangiri,bugharika mahina, temeke nyambitih huko kote ni makazi yasiyokuwa na mpangilio.
Wapi ambako sio pakawaida?Mwanza ya kawaida Sana afu nyie wenyewe huko Tanzania mnakazana kuipa hadhi ya jiji.
Hovyo kabisa!!
Tatizo la watanzania wengi unakuta kazaliwa Dar, Mwanza, Arusha, hajawahi kutoka nje ya Tanzania so anaona ni majiji ya maana ili hali ukweli ni vijiji vilivyochangamka tuMimi nimefanikiwa kufika Bangkok . Kwa kweli mji umepangika vizuri
Unaongea utumbo tu.Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, Nyegezi ni vijumba vya hovyo vimejaa bila mpangilio....Mwanza mtaa pekee uliopangiliwa ni Capri Point
Vimesaidia nini kuinua uchumi wenu, nyie na Singida mnazidiana nini kwwnye uchumi, na wote mnalingana kwenye umaskini uliotopea.Unachekesha sana ....kwamba Dodoma hakuna uwekezaji binafsi👇👇
-Mahoteli yote makubwa Dom ni uwekezaji wa nani..😆😆
-Vyombo vya habari (zaidi ya radio stations 16,1 tv station,magazeti mawili)...😆😆
-Wawekezaji wakubwa kwamfano GSM,Shabiby,Dangote,Shoppers,Kanisa n.k
-Mabenki +Taasisi za kifedha
-Viwanda (Zabibu pekeyake imetengeneza viwanda vya Wine zaidi ya 20) hapo bado sijakutajia Kiwanda cha Magodoro,DIPC Ntyuka,Viwanda vya Nyama n.k
Kumbe kisesa,igoma,nyegezi,buhongwa zipo mjini kati? Nilikua sijui aisee hapo umeisahau usagara hahahahaNilichokigundua ni kwamba wachangiaji wa mada hii wengi ni vijana wa hovyo wenye makasiriko na mihemko, mimi nimetaja mitaa ya.Nyakabungo, Nyakato, Mabatini, Sahara, Nyegezi, Igoma, Kisesa, Buhongwa, etc yote ni kitaa iliyochakaa yenye makazi Duni na vijumba vilivyojengwa hovyo bila mipango, bado watu wanakuja juu, hii nitaa niliotaja hapa ndio mitaa ambayo iko mjini kati hivyo picha ya Mjini kati ndio imenipa Picha ya Jiji zima kuwa ni hovyo,
Ukifananisha na Dodoma ambapo Utataja IHUMWA, NZUGUNI KISASA, MELIWA, MAKOLE, CHADULU, KIZOTA HADI NALA,
ni mitaa yenye makaz yanayoeleweka ambayo ndio ina potray the whole town structure, Alafu kingine wengi wanaotufokea humu kuitetea hata hiyo mwanza hawana Makazi ya kudumu mwanza vi vijana tu wa hovyo ambao wanafurahi kuishi katika vibandaa vya kodi ya 15000.
Kama sio ujinga unaifananishaje Makulu, mkalama, Ostabay Dodoma na na Mabatin mwanza kama sio wehu asee.
Na wasiwasi na kiwango Cha elimu yako kama sio uelewa wako ...Kwa hyo kisesa iliyo wilaya magu km 20 Toka mjini ni mjini kati ? ..ni sawa na kusema veyula au makutupora au KIKOMBO kuwa ni mitaa ya dodoma mjini ...una akili au una matope ..Nilichokigundua ni kwamba wachangiaji wa mada hii wengi ni vijana wa hovyo wenye makasiriko na mihemko, mimi nimetaja mitaa ya.Nyakabungo, Nyakato, Mabatini, Sahara, Nyegezi, Igoma, Kisesa, Buhongwa, etc yote ni kitaa iliyochakaa yenye makazi Duni na vijumba vilivyojengwa hovyo bila mipango, bado watu wanakuja juu, hii nitaa niliotaja hapa ndio mitaa ambayo iko mjini kati hivyo picha ya Mjini kati ndio imenipa Picha ya Jiji zima kuwa ni hovyo,
Ukifananisha na Dodoma ambapo Utataja IHUMWA, NZUGUNI KISASA, MELIWA, MAKOLE, CHADULU, KIZOTA HADI NALA,
ni mitaa yenye makaz yanayoeleweka ambayo ndio ina potray the whole town structure, Alafu kingine wengi wanaotufokea humu kuitetea hata hiyo mwanza hawana Makazi ya kudumu mwanza vi vijana tu wa hovyo ambao wanafurahi kuishi katika vibandaa vya kodi ya 15000.
Kama sio ujinga unaifananishaje Makulu, mkalama, Ostabay Dodoma na na Mabatin mwanza kama sio wehu asee.
Habari wakuu,
Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda sana,
Kwa kuwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia Eneo lenye mpangilio wa makazi ya karibukaribu na changanyikeni ya watu nilipenda sana na niliamini Mjini kunapaswa kuwa namuonekano ule.
Ila baada ya kukaa na kubahatika kwenda Majiji mbalimbali ya Tanzania na baadae Kutia Nanga Dodoma na kuwa mkazi wa kudumu wa Jiji la Dodoma na kuzoea maandhari ya makazi ya watu na jinsi Jiji lilivyopangika,
Hakika jana baada ya kubahatika kupita Mwanza nilibaki kinywa wazi baada ya kuona majengo ya hovyo na vinyumba vya kizaman vilivyojengwa bila mpangilio maalumu kuonekana Maeneo ya Mjini kati tena makazi ya watu Duni na vinyumba vya hovyo sana.
Nilipita njia ya Kutoka Nyamongoro Stand mpya Mabus hadi Nyegezi Stend kuu ya mabasi Hakika mitaa niliyopita kwenye Gari ilikuwa inatisha kwa mwonekano, kuanzia Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, had Nyegezi ni vijumba vya hovyo sana vilivyoegeshwa pembeni ya mawe na kuezekwa kwa Bati kuukuu na Mawe Juu,
Hamna hata barabara za mitaa za kueleweka, na hakuna hata mpangilio wa makazi vinyumba vimekaa kutazama jirani anamwangalia Mwingine na choo cha jirani kipo mlangoni mwa Jrani kuna watu wanaishi Juu ya milima kiasi kwamba hata wamiliki wa maeneo yale hawana accessories ya kumiliki usafiri, Maana hawana njia za kupita,
Majengo ya kizaman yenye Bati za kizamani zilizojaa kutu na Kupambwa na vivyesi vya ndege, Aslimia kubwa ya Eneo ni majarubani wakazi na watu wote wanaokalia jiji wanaonekana ni watu hawana Nuru nyusoni mwao, Wanaonekana ni watu wenye maskitiko mda wote, asilimia kubwa ya Vijana wadogo wanaonekana ni watumiaji wa Mihadarati usela mavi na Usela Nya.
Kusema kweli nipongeze sana Dodoma ni Moja kati ya Majiji Bora yenye mpangilio wa mzuri wa makazi ya watu na hadhi ya kukalika na watu Kuanzia Mtumba, Ihumwa, Nzuguni, Swaswa, Kisasa, Meliwa, Ipagara, Area C, Area A, AreaD, Makulu, Ostabey, Mkalama, Mkonze, Ntuka, Nkuhungu, Mnada mpya hadi Nala, Dodoma haichoshi hata mgeni akizungushwa jiji halimchoshi anataman kuendelea kutaliii,
Changamoto Dodoma hakuna Refreshing Area za Maana kama Mwanza, ila katika upande wa Makazi Dodoma is the Best.
Nilichokigundua ni kwamba wachangiaji wa mada hii wengi ni vijana wa hovyo wenye makasiriko na mihemko, mimi nimetaja mitaa ya.Nyakabungo, Nyakato, Mabatini, Sahara, Nyegezi, Igoma, Kisesa, Buhongwa, etc yote ni kitaa iliyochakaa yenye makazi Duni na vijumba vilivyojengwa hovyo bila mipango, bado watu wanakuja juu, hii nitaa niliotaja hapa ndio mitaa ambayo iko mjini kati hivyo picha ya Mjini kati ndio imenipa Picha ya Jiji zima kuwa ni hovyo,
Ukifananisha na Dodoma ambapo Utataja IHUMWA, NZUGUNI KISASA, MELIWA, MAKOLE, CHADULU, KIZOTA HADI NALA,
ni mitaa yenye makaz yanayoeleweka ambayo ndio ina potray the whole town structure, Alafu kingine wengi wanaotufokea humu kuitetea hata hiyo mwanza hawana Makazi ya kudumu mwanza vi vijana tu wa hovyo ambao wanafurahi kuishi katika vibandaa vya kodi ya 15000.
Kama sio ujinga unaifananishaje Makulu, mkalama, Ostabay Dodoma na na Mabatin mwanza kama sio wehu asee.
Huwa najibu hoja na facts kulingana na topic husika.....Ulisema Dom hakuna uwekezaji binafsi eti uwekezaji wote ni wa Serikali nimekupa facts naona unataka kuhamisha magoli😆😆Vimesaidia nini kuinua uchumi wenu, nyie na Singida mnazidiana nini kwwnye uchumi, na wote mnalingana kwenye umaskini uliotopea.
Mkuu unatoka Nyamnhongoro Stand kwenye Nyegezi, kama unaijua Mwanza vizuri, Nyakabungo imeingiaje hapo, na kwa kujiamini kabisa unasema Nyakabungo iko mjini kati! Mwanza ipi hiyo?Nilichokigundua ni kwamba wachangiaji wa mada hii wengi ni vijana wa hovyo wenye makasiriko na mihemko, mimi nimetaja mitaa ya.Nyakabungo, Nyakato, Mabatini, Sahara, Nyegezi, Igoma, Kisesa, Buhongwa, etc yote ni kitaa iliyochakaa yenye makazi Duni na vijumba vilivyojengwa hovyo bila mipango, bado watu wanakuja juu, hii nitaa niliotaja hapa ndio mitaa ambayo iko mjini kati hivyo picha ya Mjini kati ndio imenipa Picha ya Jiji zima kuwa ni hovyo,
Ukifananisha na Dodoma ambapo Utataja IHUMWA, NZUGUNI KISASA, MELIWA, MAKOLE, CHADULU, KIZOTA HADI NALA,
ni mitaa yenye makaz yanayoeleweka ambayo ndio ina potray the whole town structure, Alafu kingine wengi wanaotufokea humu kuitetea hata hiyo mwanza hawana Makazi ya kudumu mwanza vi vijana tu wa hovyo ambao wanafurahi kuishi katika vibandaa vya kodi ya 15000.
Kama sio ujinga unaifananishaje Makulu, mkalama, Ostabay Dodoma na na Mabatin mwanza kama sio wehu asee.
Wewe jamaa ni Dishi kinyama, Unaijua nyegezi au unalopoka na mdomo mpana Nyegezi kubwa mzee hebu tofautisha unaongelea Nyegezi ipi?, pia hiyo Buhongwa, Buhongwa ipi? Halafu mtaa wa Nyakabungo 🤣🤣🤣🤣kweli wewe ni Dishi, ulifikaje Nyakabungo ukashindwa kufika Isamilo?, Nyamhongoro ipi? Kumbe tunabishana na mtu ambae hata mwanza haijui,, muwe mnashuka mnatembea sio kulopoka kijinga, Basi kwa kukusaidia shuka Nyegezi, halafu ulizia Nyegezi majengo ni wapi then nenda, ukajionee mwenyewe,Mitaa yote uliyoitaja hapo juu yote huijui na huenda umepita kwenye na kukaririshwa, muwe na mnafanya tour ya kata nzima, Buhongwa ni kubwa mzee, Igoma ni kubwa mzee inategemea unasemea Igoma mtaa upi?, Kisesa na Nyamhongoro ndio hata usingeitaja kabisa maana hujui chochote kuhusu hiyo mitaa na Kisesa kama hujui ni upcoming manisipaa mpya,Nilichokigundua ni kwamba wachangiaji wa mada hii wengi ni vijana wa hovyo wenye makasiriko na mihemko, mimi nimetaja mitaa ya.Nyakabungo, Nyakato, Mabatini, Sahara, Nyegezi, Igoma, Kisesa, Buhongwa, etc yote ni kitaa iliyochakaa yenye makazi Duni na vijumba vilivyojengwa hovyo bila mipango, bado watu wanakuja juu, hii nitaa niliotaja hapa ndio mitaa ambayo iko mjini kati hivyo picha ya Mjini kati ndio imenipa Picha ya Jiji zima kuwa ni hovyo,