Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

Mwanza ya kawaida Sana afu nyie wenyewe huko Tanzania mnakazana kuipa hadhi ya jiji.
Hovyo kabisa!!
 
Eti kangaye ,eti Temeke ..Temeke Kuna uswazi [emoji849][emoji849]..kwanza hyo Temeke unajua ipo mtaa gan
We kwenu Jiji gani kwanza tujue usije kua una comment afu unaishi kibondo ndani maporini uko
 
Binafsi nilipokuwa naisikia Mwanza ni tofauti kabisa na ule ushuzi nilioukuta pale. Hakuna mpangilio hata wa barabara achana na makazi halafu kuchafu sana
Gogo la Chang'ombe hilo
 
Binafsi nilipokuwa naisikia Mwanza ni tofauti kabisa na ule ushuzi nilioukuta pale. Hakuna mpangilio hata wa barabara achana na makazi halafu kuchafu sana
Kuna sehemu chafu kuliko chadulu,mail mbili katikati,ipagala,kizota,chan'gombe,ntyuka,hazina kwa mama masonyenyi kwenye pombe chafu ingia nzuguni ndani uone uswazi dodoma hapo karibu na bunge penyewe full uswazi mji una centre moja tu kama njombe huduma zote mpaka muende one way sehem za starehe eti nyerere Square .
 
Hapo kweli umesema Mkuu kwa hio Makulu hakuna Maji kabisa au yanamtoka kwa vipindi siku baada ya siku?
Samahani, huu ndiyo utambulisho wako?? Yaani ni kuuliza maswali tu katika nyuzi zote! Halafu ukijibiwa huridhiki! Utauliza tena! Au unafanya utafiti?? Narudia tena samahani!
 
Wewe shidayako unaleta ushabiki badala ya facts....Kwa taarifayako hata Dom kuna mitaa bado ina slums kwamfano Chaduru,Chang'ombe,Kizota ila tofauti na slums za Mwanza ni kwamba za Dom hata kama ikitokea ajali ya moto au majanga ya asili zinafikika na gari la zimamoto na moto utazimwa kwa wakati kwasababu ya mpangilio na miundombinu tofauti na Mwanza ambapo mitaa mingi(ukitoa Capri Point) ni full uswazi utadhani mabanda ya nguruwe hakuna barabara za mitaa yaani hata barabara kuu za kuingia mjini bado ni shida.
Angalia kwamfano Mabatini Igogo, igoma,nyakato sokoni, kangaye, kitangiri,bugharika mahina, temeke nyambitih huko kote ni makazi yasiyokuwa na mpangilio.
Hiyo mitaa ndio unayoijua? Halafu unajisemea unaijua Mwanza, unachekesha aise au unataka tukutoe tongotongo?
 
Mimi nimefanikiwa kufika Bangkok . Kwa kweli mji umepangika vizuri
Tatizo la watanzania wengi unakuta kazaliwa Dar, Mwanza, Arusha, hajawahi kutoka nje ya Tanzania so anaona ni majiji ya maana ili hali ukweli ni vijiji vilivyochangamka tu
 
Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, Nyegezi ni vijumba vya hovyo vimejaa bila mpangilio....Mwanza mtaa pekee uliopangiliwa ni Capri Point
Unaongea utumbo tu.
 
Unachekesha sana ....kwamba Dodoma hakuna uwekezaji binafsi👇👇
-Mahoteli yote makubwa Dom ni uwekezaji wa nani..😆😆
-Vyombo vya habari (zaidi ya radio stations 16,1 tv station,magazeti mawili)...😆😆
-Wawekezaji wakubwa kwamfano GSM,Shabiby,Dangote,Shoppers,Kanisa n.k
-Mabenki +Taasisi za kifedha
-Viwanda (Zabibu pekeyake imetengeneza viwanda vya Wine zaidi ya 20) hapo bado sijakutajia Kiwanda cha Magodoro,DIPC Ntyuka,Viwanda vya Nyama n.k
Vimesaidia nini kuinua uchumi wenu, nyie na Singida mnazidiana nini kwwnye uchumi, na wote mnalingana kwenye umaskini uliotopea.
 
Nilichokigundua ni kwamba wachangiaji wa mada hii wengi ni vijana wa hovyo wenye makasiriko na mihemko, mimi nimetaja mitaa ya.Nyakabungo, Nyakato, Mabatini, Sahara, Nyegezi, Igoma, Kisesa, Buhongwa, etc yote ni kitaa iliyochakaa yenye makazi Duni na vijumba vilivyojengwa hovyo bila mipango, bado watu wanakuja juu, hii nitaa niliotaja hapa ndio mitaa ambayo iko mjini kati hivyo picha ya Mjini kati ndio imenipa Picha ya Jiji zima kuwa ni hovyo,

Ukifananisha na Dodoma ambapo Utataja IHUMWA, NZUGUNI KISASA, MELIWA, MAKOLE, CHADULU, KIZOTA HADI NALA,
ni mitaa yenye makaz yanayoeleweka ambayo ndio ina potray the whole town structure, Alafu kingine wengi wanaotufokea humu kuitetea hata hiyo mwanza hawana Makazi ya kudumu mwanza vi vijana tu wa hovyo ambao wanafurahi kuishi katika vibandaa vya kodi ya 15000.

Kama sio ujinga unaifananishaje Makulu, mkalama, Ostabay Dodoma na na Mabatin mwanza kama sio wehu asee.
 
Kumbe kisesa,igoma,nyegezi,buhongwa zipo mjini kati? Nilikua sijui aisee hapo umeisahau usagara hahahaha
 
Nilichokigundua ni kwamba wachangiaji wa mada hii wengi ni vijana wa hovyo wenye makasiriko na mihemko, mimi nimetaja mitaa ya.Nyakabungo, Nyakato, Mabatini, Sahara, Nyegezi, Igoma, Kisesa, Buhongwa, etc yote ni kitaa iliyochakaa yenye makazi Duni na vijumba vilivyojengwa hovyo bila mipango, bado watu wanakuja juu, hii nitaa niliotaja hapa ndio mitaa ambayo iko mjini kati hivyo picha ya Mjini kati ndio imenipa Picha ya Jiji zima kuwa ni hovyo,

Ukifananisha na Dodoma ambapo Utataja IHUMWA, NZUGUNI KISASA, MELIWA, MAKOLE, CHADULU, KIZOTA HADI NALA,
ni mitaa yenye makaz yanayoeleweka ambayo ndio ina potray the whole town structure, Alafu kingine wengi wanaotufokea humu kuitetea hata hiyo mwanza hawana Makazi ya kudumu mwanza vi vijana tu wa hovyo ambao wanafurahi kuishi katika vibandaa vya kodi ya 15000.

Kama sio ujinga unaifananishaje Makulu, mkalama, Ostabay Dodoma na na Mabatin mwanza kama sio wehu asee.
Na wasiwasi na kiwango Cha elimu yako kama sio uelewa wako ...Kwa hyo kisesa iliyo wilaya magu km 20 Toka mjini ni mjini kati ? ..ni sawa na kusema veyula au makutupora au KIKOMBO kuwa ni mitaa ya dodoma mjini ...una akili au una matope ..
Kingine usitafute umaarufu Kwa mada zako zisizo na miguu wala kichwa ....Kwa akili zako kabisa unatoka unasema buhongwa Kuna makazi yaliyochakaa ..huko ntyuka tuseme sasa mazizi au
😃😃.kwamba hili zizi ndio limepangwa 👇
images (14).jpeg
 
Habari wakuu,

Katika Pitapita zangu Juzi nilibahatika kupita Jiji la Mwanza baada ya miaka mingi kupita, Ni wazi kwamba niliwahi kuishi Mwanza miaka kadhaa nyumba baada ya kutoka mkoani, Kusema kwel kwa Umri ule na kipindi kile kwa kuwa nilikuwa sielewi lolote kuhusu Jiji nilitokea kupapenda sana,

Kwa kuwa ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia Eneo lenye mpangilio wa makazi ya karibukaribu na changanyikeni ya watu nilipenda sana na niliamini Mjini kunapaswa kuwa namuonekano ule.

Ila baada ya kukaa na kubahatika kwenda Majiji mbalimbali ya Tanzania na baadae Kutia Nanga Dodoma na kuwa mkazi wa kudumu wa Jiji la Dodoma na kuzoea maandhari ya makazi ya watu na jinsi Jiji lilivyopangika,

Hakika jana baada ya kubahatika kupita Mwanza nilibaki kinywa wazi baada ya kuona majengo ya hovyo na vinyumba vya kizaman vilivyojengwa bila mpangilio maalumu kuonekana Maeneo ya Mjini kati tena makazi ya watu Duni na vinyumba vya hovyo sana.

Nilipita njia ya Kutoka Nyamongoro Stand mpya Mabus hadi Nyegezi Stend kuu ya mabasi Hakika mitaa niliyopita kwenye Gari ilikuwa inatisha kwa mwonekano, kuanzia Igoma, Nyakato, Buzuruga, Mabatini, Nata, Nyakabungo, Sahara, had Nyegezi ni vijumba vya hovyo sana vilivyoegeshwa pembeni ya mawe na kuezekwa kwa Bati kuukuu na Mawe Juu,

Hamna hata barabara za mitaa za kueleweka, na hakuna hata mpangilio wa makazi vinyumba vimekaa kutazama jirani anamwangalia Mwingine na choo cha jirani kipo mlangoni mwa Jrani kuna watu wanaishi Juu ya milima kiasi kwamba hata wamiliki wa maeneo yale hawana accessories ya kumiliki usafiri, Maana hawana njia za kupita,

Majengo ya kizaman yenye Bati za kizamani zilizojaa kutu na Kupambwa na vivyesi vya ndege, Aslimia kubwa ya Eneo ni majarubani wakazi na watu wote wanaokalia jiji wanaonekana ni watu hawana Nuru nyusoni mwao, Wanaonekana ni watu wenye maskitiko mda wote, asilimia kubwa ya Vijana wadogo wanaonekana ni watumiaji wa Mihadarati usela mavi na Usela Nya.

Kusema kweli nipongeze sana Dodoma ni Moja kati ya Majiji Bora yenye mpangilio wa mzuri wa makazi ya watu na hadhi ya kukalika na watu Kuanzia Mtumba, Ihumwa, Nzuguni, Swaswa, Kisasa, Meliwa, Ipagara, Area C, Area A, AreaD, Makulu, Ostabey, Mkalama, Mkonze, Ntuka, Nkuhungu, Mnada mpya hadi Nala, Dodoma haichoshi hata mgeni akizungushwa jiji halimchoshi anataman kuendelea kutaliii,

Changamoto Dodoma hakuna Refreshing Area za Maana kama Mwanza, ila katika upande wa Makazi Dodoma is the Best.

Ulichosema ni kweli ila hili ni kwa miji yetu yote hapa Tanzania, ulichokosea ni ku quote Mwanza Pekee , hata hivyo kwa miji yetu kibongobongo Mwanza siyo ya kuichukulia poa hivyo changamoto iliyonayo Mwanza makazi duni yamejengwa kwenye miteremiko ya milima hivyo huonekana kirahisi zaidi ukilinganisha na miji mingine labda ndicho kilichokufanya uone hivyo angalia vizuli picha ya njia uliyopita kutoka Nyegezi mpaka Nyamhongoro ina asking andiko lako? wewe umekuja na upande mmoja tu wa Slum
 
Attachments

  • Screenshot_20240709-180402_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180402_Google Earth.jpg
    767.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20240709-180339_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180339_Google Earth.jpg
    748.9 KB · Views: 12
  • Screenshot_20240709-180322_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180322_Google Earth.jpg
    723.4 KB · Views: 10
  • Screenshot_20240709-180256_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180256_Google Earth.jpg
    898.4 KB · Views: 9
  • Screenshot_20240709-180246_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180246_Google Earth.jpg
    894.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240709-180237_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180237_Google Earth.jpg
    903.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20240709-180222_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180222_Google Earth.jpg
    883.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240709-180206_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180206_Google Earth.jpg
    806.9 KB · Views: 10
  • Screenshot_20240709-180155_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180155_Google Earth.jpg
    839 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240709-180120_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180120_Google Earth.jpg
    886.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240709-180052_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180052_Google Earth.jpg
    810.7 KB · Views: 8
  • Screenshot_20240709-180017_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180017_Google Earth.jpg
    819.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240709-180414_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180414_Google Earth.jpg
    760.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240709-180610_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180610_Google Earth.jpg
    759 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240709-180628_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180628_Google Earth.jpg
    768.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240709-180912_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180912_Google Earth.jpg
    697.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240709-180857_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180857_Google Earth.jpg
    691.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20240709-180842_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180842_Google Earth.jpg
    675.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240709-180833_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180833_Google Earth.jpg
    739.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240709-180824_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180824_Google Earth.jpg
    723.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240709-180802_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180802_Google Earth.jpg
    696.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240709-180750_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180750_Google Earth.jpg
    632.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240709-180734_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180734_Google Earth.jpg
    623.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240709-180722_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180722_Google Earth.jpg
    681.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240709-180709_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180709_Google Earth.jpg
    684.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240709-180700_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180700_Google Earth.jpg
    687.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240709-180644_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-180644_Google Earth.jpg
    758.5 KB · Views: 5
Je Dodoma yetu tukichukua Mitaa hii ya Nzunguni na ihumwa tukaiweka kwenye miinuko kama ile ya Mwanza utaconclude kwamba Dodoma nzima ni Slum?
 
Attachments

  • Screenshot_20240709-185241_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-185241_Google Earth.jpg
    813.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240709-185254_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-185254_Google Earth.jpg
    688.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240709-185313_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-185313_Google Earth.jpg
    742.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240709-185353_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-185353_Google Earth.jpg
    780.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240709-185452_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-185452_Google Earth.jpg
    822.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240709-185523_Google Earth.jpg
    Screenshot_20240709-185523_Google Earth.jpg
    788.6 KB · Views: 8
Ka
Nilichokigundua ni kwamba wachangiaji wa mada hii wengi ni vijana wa hovyo wenye makasiriko na mihemko, mimi nimetaja mitaa ya.Nyakabungo, Nyakato, Mabatini, Sahara, Nyegezi, Igoma, Kisesa, Buhongwa, etc yote ni kitaa iliyochakaa yenye makazi Duni na vijumba vilivyojengwa hovyo bila mipango, bado watu wanakuja juu, hii nitaa niliotaja hapa ndio mitaa ambayo iko mjini kati hivyo picha ya Mjini kati ndio imenipa Picha ya Jiji zima kuwa ni hovyo,

Ukifananisha na Dodoma ambapo Utataja IHUMWA, NZUGUNI KISASA, MELIWA, MAKOLE, CHADULU, KIZOTA HADI NALA,
ni mitaa yenye makaz yanayoeleweka ambayo ndio ina potray the whole town structure, Alafu kingine wengi wanaotufokea humu kuitetea hata hiyo mwanza hawana Makazi ya kudumu mwanza vi vijana tu wa hovyo ambao wanafurahi kuishi katika vibandaa vya kodi ya 15000.

Kama sio ujinga unaifananishaje Makulu, mkalama, Ostabay Dodoma na na Mabatin mwanza kama sio wehu asee.

Kaka ongea kwa fact Mitaa yote unayitaja ina two Sides Mtaa huo huo una Slum na Mtaa huohuo una maeneo yaliyopangwa acha kudanganywa na Rangi za Mabati Mtaa mzima Mabati mekundu
 
Vimesaidia nini kuinua uchumi wenu, nyie na Singida mnazidiana nini kwwnye uchumi, na wote mnalingana kwenye umaskini uliotopea.
Huwa najibu hoja na facts kulingana na topic husika.....Ulisema Dom hakuna uwekezaji binafsi eti uwekezaji wote ni wa Serikali nimekupa facts naona unataka kuhamisha magoli😆😆
 
Nilichokigundua ni kwamba wachangiaji wa mada hii wengi ni vijana wa hovyo wenye makasiriko na mihemko, mimi nimetaja mitaa ya.Nyakabungo, Nyakato, Mabatini, Sahara, Nyegezi, Igoma, Kisesa, Buhongwa, etc yote ni kitaa iliyochakaa yenye makazi Duni na vijumba vilivyojengwa hovyo bila mipango, bado watu wanakuja juu, hii nitaa niliotaja hapa ndio mitaa ambayo iko mjini kati hivyo picha ya Mjini kati ndio imenipa Picha ya Jiji zima kuwa ni hovyo,

Ukifananisha na Dodoma ambapo Utataja IHUMWA, NZUGUNI KISASA, MELIWA, MAKOLE, CHADULU, KIZOTA HADI NALA,
ni mitaa yenye makaz yanayoeleweka ambayo ndio ina potray the whole town structure, Alafu kingine wengi wanaotufokea humu kuitetea hata hiyo mwanza hawana Makazi ya kudumu mwanza vi vijana tu wa hovyo ambao wanafurahi kuishi katika vibandaa vya kodi ya 15000.

Kama sio ujinga unaifananishaje Makulu, mkalama, Ostabay Dodoma na na Mabatin mwanza kama sio wehu asee.
Mkuu unatoka Nyamnhongoro Stand kwenye Nyegezi, kama unaijua Mwanza vizuri, Nyakabungo imeingiaje hapo, na kwa kujiamini kabisa unasema Nyakabungo iko mjini kati! Mwanza ipi hiyo?
 
Nilichokigundua ni kwamba wachangiaji wa mada hii wengi ni vijana wa hovyo wenye makasiriko na mihemko, mimi nimetaja mitaa ya.Nyakabungo, Nyakato, Mabatini, Sahara, Nyegezi, Igoma, Kisesa, Buhongwa, etc yote ni kitaa iliyochakaa yenye makazi Duni na vijumba vilivyojengwa hovyo bila mipango, bado watu wanakuja juu, hii nitaa niliotaja hapa ndio mitaa ambayo iko mjini kati hivyo picha ya Mjini kati ndio imenipa Picha ya Jiji zima kuwa ni hovyo,

Ukifananisha na Dodoma ambapo Utataja IHUMWA, NZUGUNI KISASA, MELIWA, MAKOLE, CHADULU, KIZOTA HADI NALA,
ni mitaa yenye makaz yanayoeleweka ambayo ndio ina potray the whole town structure, Alafu kingine wengi wanaotufokea humu kuitetea hata hiyo mwanza hawana Makazi ya kudumu mwanza vi vijana tu wa hovyo ambao wanafurahi kuishi katika vibandaa vya kodi ya 15000.

Kama sio ujinga unaifananishaje Makulu, mkalama, Ostabay Dodoma na na Mabatin mwanza kama sio wehu asee.
Wewe jamaa ni Dishi kinyama, Unaijua nyegezi au unalopoka na mdomo mpana Nyegezi kubwa mzee hebu tofautisha unaongelea Nyegezi ipi?, pia hiyo Buhongwa, Buhongwa ipi? Halafu mtaa wa Nyakabungo 🤣🤣🤣🤣kweli wewe ni Dishi, ulifikaje Nyakabungo ukashindwa kufika Isamilo?, Nyamhongoro ipi? Kumbe tunabishana na mtu ambae hata mwanza haijui,, muwe mnashuka mnatembea sio kulopoka kijinga, Basi kwa kukusaidia shuka Nyegezi, halafu ulizia Nyegezi majengo ni wapi then nenda, ukajionee mwenyewe,Mitaa yote uliyoitaja hapo juu yote huijui na huenda umepita kwenye na kukaririshwa, muwe na mnafanya tour ya kata nzima, Buhongwa ni kubwa mzee, Igoma ni kubwa mzee inategemea unasemea Igoma mtaa upi?, Kisesa na Nyamhongoro ndio hata usingeitaja kabisa maana hujui chochote kuhusu hiyo mitaa na Kisesa kama hujui ni upcoming manisipaa mpya,
 
Back
Top Bottom