Mwanza kutamu asikwambie mtu

Samaki niliketa kweli ila walivyogombewa hata mimi mwenyewe sikuwafaidi
Vibaya hivyo bibie, umeamua tu kuninyima, tulikubaliana mie nije stendi kukupokea, ningekuja mie ndio ningekuwa wa kwaanza kabisa kula samaki.
 
ungekuwa mwanaume ingekuwaje
 
Kwa kwenda kutembea na kuondoka sawa ila sio kuishi, na hiyo kushangaa hata mie sielewi kwanini watu wa Mwanza wanashangaa sana ni kua wanajua huyu mgeni au ni hulka tu,

Anyway, Dar kutamu asikwambie N'tu.
 
Kwa kwenda kutembea na kuondoka sawa ila sio kuishi, na hiyo kushangaa hata mie sielewi kwanini watu wa Mwanza wanashangaa sana ni kua wanajua huyu mgeni au ni hulka tu,

Anyway, Dar kutamu asikwambie N'tu.
Yani wasukuma wanajua kushangaa sana sana...
Wanaume ndio kabisaaa shingo kodo kodo
Hadi mtu unajistukia kama hujazoea kuzodolewa macho
 
Kenyatta road(Shinyanga road),Nyerere road(Musoma road) na Airport road hizo ndizo barabara za Mwanza
Mbona hunataja highway tu, ata dar ina highway tatu unataka mji huwe na highway ngap kuunganisha na mikoa mingine hicho kichwa chako kina shida na kama ilo fuvu lina ubongo basi ni ubongo wa fisi maji.
 
Kuna barabara mpya zimejengwa,hapa sabasaba ipo inayoenda buswelu wilayani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…