Mwanza kutamu asikwambie mtu

Mbona hunataja highway tu, ata dar ina highway tatu unataka mji huwe na highway ngap kuunganisha na mikoa mingine hicho kichwa chako kina shida na kama ilo fuvu lina ubongo basi ni ubongo wa fisi maji.
Kweli
 
Kichwa chako ni kibovu ila leo kitapona[emoji1] mm kazi yangu ni kukutoa ujinga tu..

Hizo highway unazojiongelea wewe zinapakana na haya maeneo mfano barabara ya kenyatta imepita kwenye haya maeneo buhongwa,mkolani,nyegezi,hohari,mkuyuni,mwanza South(pepsi&voil) hadi mjini kati..

swali watu wanaoishi butimba,nganza,mnangani,sweya,luchelele nk wanatumia barabara gani?

Barabara ya nyerere[emoji2] ni kisesa,kanyama,nyamhongoro,igoma(malamala&ndama)nyakato(kijereshi,mwatex,national,sokoni,buzuruga,mabatini(sinai,darajani,mlango mmoja) nata hadi mji kati

Swali watu wanaoishi...
Bugando,bugarika,igelegele,wazimu,minazi mitatu,Bandera tatu,buzwagi,mahina,mwananchi,nyasaka,mecco,kaangae,busweru,maduka tisa, nk wanatumia barabara gani?


Barabara ya makongoro/airport ni
Airport penyewe,kanisani,radio free,sabasaba,iloganzara,pansiasi,seremala,kona ya bwiru,ghana,furahisha,mission,nera hadi mjini kati

Swali[emoji2] watu wanaoishi.....
Mwaloni,magomeni,kirumba,ibanda,kitangiri,mihama,bwiru,jiwe kuu,mji wema,isamilo,kilimahewa,kiloleli, na na na na na na. wanatumia barabara gani[emoji3]

Rudi kwa huyo aliokwambia jiji la mwanza Lina barabara tatu tu kakudanganya.. mda mwingine muwe mnatuuliza wenyeji tunawapa ramani sio mnarukaruka hovyo hovyo tu.... bye


UKIPOTOSHA NITARUDI KUWEKA MAMBO SAWA by NGOSHA WA MBASA[emoji378]
 

Umejibu vizuri katika kila kona ila nashukuru kila ulikuwa ukitaja hizo barabara za mitaa lazima uweke kenyatta road,nyerere na airport road
 
Umejibu vizuri katika kila kona ila nashukuru kila ulikuwa ukitaja hizo barabara za mitaa lazima uweke kenyatta road,nyerere na airport road
[emoji3][emoji3] pamoja kiongoz ila karibu sana MWANZA, siku nyingine ukija nitafuta kama nitakua mwanza nikupeleke sehemu ambazo hukuwahi zizania

MWANZA nilijitu likuuuubwa sana
 
Muulize kwao mbeya anakokusifia kuna barabara ngapi? Hizo za highway?
 
Kuna sehem moja Mwanza pale busisi ukivuka maji Rocky Bay ni bonge la sehem pazuri sana ni wazungu tu na wahindi ndio unakutana nao hilo chimbo la maraha
 
Hiki ni nini [emoji1][emoji1] vijana bwana, huu uzi ushakua wa ligi, kwa mwanza hata ukiichukua Arusha na mbeya combined bado Mwanza itakua juu tu ni vile kunawapuuzi flani wanajifanya wanaijua sana mwanza kuliko sie ma tycoon

kama ulikuja mwanza kumsalimia shangazi au mjomba unfortunately mwanza utaiona kama mbeya au Arusha (kundi la wasiojua)
 
Wewe acha kuongea ugoro,unachoongea hukijui,wewe unachojua ni hizo mitaa tu,tena nyamaza,mbeya unaiona kwenye tv tu
 
Naona akina mwakaleli na mangosha mko kwny ligi[emoji848] yangu macho[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…