Mwanza kutamu asikwambie mtu

Ndo Mara yangu ya kwanza kuona umetoa comment ndefu hivi!
 
Hongera
 
Napenda sanaaaaaa
Mfuko ukiwa tu mzuri mimi huyooo
Next stop ni mbeya, ruvuma hadi Zambia...
Ah nice
Fanya tour dear
Enjoy while you can ..

Kuna uzi humu wa vivutio ni mzuri mno
Unaweza ukaupitia kuona sehemu nyingine ya kwenda



Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania
 
Kwa maneno uliongea umenishawishi sana niende uko Asante kwa experience yako uliotupa
 
Senkyuuuuuu ❤❤❤
 
Dahh ntakuwa naenda angalau kwa mwaka mara moja nile maisha mimii
Safari nyingine nataka niende hadi ukerewe
Unaona rahaaaaa mkuu kutembea tembea mwenyewe umetuona tulivo mahandsome umetutamaaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…