Mwanza: Mtoto ateketea kwa moto wakati wa operesheni ya Kiserikali

Mwanza: Mtoto ateketea kwa moto wakati wa operesheni ya Kiserikali

Anaweza kuwa sawa, Kama ni yeye kasababisha achukuliwe hatua Ila Kama ni hujuma hao waliofanya hivyo wachukuliwe hatua maana kuna watu Wana roho mbaya wanaweza kufanya hivyo Ili waonewe huruma wasifukuzwe maana najiuliza inakuwaje wazazi wakimbie waache mtoto?
 
Na wewe umeandika - hesabu imetimia
 
Daah hawa wakuu wa wilaya sijui wana akili gani mbona wengi ni wakatili mno aisee wanawachomea nyumba watanzania wenzao na kuua kirahisi rahisi tuu...

Hizi nafasi mustakabala wake mpya unahitajika.

DC hata wa awamu ya 4 aliheshimika. Siyo majahili hawa.
 
Hivi wakati oparesheni hizi zinaendeshwa jeshi la zimamoto na uokoaji huwa linashirikishwa? au linaenda jeshi la uteketezaji na uhangamizaji pekee yake?

Hivi inagharimu nini kulitumia jeshi la kujenga taifa kushiriki oparesheni hizi maana wana waatalaamu wanaoweza bomoa nyumba hizi kama ni kutoa mabati,milango na madirisha na kuviweka pembeni halafu raia alokaidi kuvunja kwa hiari yake akalipa faini kugomboa vitu vyake.
mwisho ni lini serekali itasitisha mbinu ya uchomaji moto na kutafuta mbinu mbadala maana mbinu hiyo ni uharibifu Wa mazingira?
.R.I.p mtoto Tanzania yenye Ardhi kubwa ya kutosha bado inasikitisha ukisikia mtu anapoteza uhai kisa maeneo
 
Aisee yaani nimejikuta hasira zinanipanda ghafra niliposoma hiyo statement ya mkuu wa wilaya, tuna viongozi wa ajabu sana katika hii nchi utashangaa bado ataendelea kukalia hicho kiti
 
Back
Top Bottom