Anaweza kuwa sawa, Kama ni yeye kasababisha achukuliwe hatua Ila Kama ni hujuma hao waliofanya hivyo wachukuliwe hatua maana kuna watu Wana roho mbaya wanaweza kufanya hivyo Ili waonewe huruma wasifukuzwe maana najiuliza inakuwaje wazazi wakimbie waache mtoto?
Mpuuzi sana huyoo
Daah hawa wakuu wa wilaya sijui wana akili gani mbona wengi ni wakatili mno aisee wanawachomea nyumba watanzania wenzao na kuua kirahisi rahisi tuu...
Yumo, ni DC Wilaya ya KilindiMkuu wa Wilaya Mwehu...Atuambie kwanza...Kuchoma moto Nyumba ni Sharti la Operation?!Kwa heri Ya kufia mbali DC..mkeka ujao haumo...
Kapelekwa Kilindi - 138Mhe. Rais tafadhali anza na huyu dc afukuzwe kazi mara moja, ni mpuuzi kabisa. Pia hao askari wa wanyama pori ambao akili zao zimejaa upori upori tu wafikishwe mahakamani kwa kosa la mauaji.
Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
Inauma sana! Angekuwa JPM huyo katili angekuwa anakula ugali wa bure muda huuRais amekaa kimya Kama vile siyo mzazi Watanzania hatuna Rais kabisa.
Yumo, ni DC Wilaya ya Kilindi