Mwanza: Mvua kubwa ya mawe

Mwanza: Mvua kubwa ya mawe

Duh! Mara ya mwisho kushuhudia mvua ya mawe ni kwenye miaka ya 89 wilayani Sengerema.
 
Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza kuanzia saa 12:45 Mchana.
12:45 mchana!!!? sijawahi ona huu muda,ukileta taarifa kwa lugha ya kiswahili hata muda tumia mfumo wa kiswahili yaani ungeandika saa 6:45 mchana SIKU NYINGINE USICHANGANYE MAFAILI
 
Na uzee huu sijawahi shuhudia mvua ya mawe🙄
 
Na uzee huu sijawahi shuhudia mvua ya mawe🙄
Na huwa hayawi mawe bali ni vipande vya barafu ambavyo vikitua chini vinayeyuka, nimeshashuhudia kama mara tano hivi, moja ilinikuta arusha mwaka 99 hiyo iliua ndege wengi sana
 
Back
Top Bottom