Wapuuzi tuu hao mtaani maisha Magumu govt inajaribu kuweka mambo sawa hata kama kutakuwa na maumivu kidogo for a while Ili baadae mambo yanyoke ndio mambo mengine ya Katiba yafuate wanaleta dharau
Umenikumbusha Mzee Pinda pale bungeni enzi zake Alisema"ukiambiwa usifanye hili,wewe ukawa jeuri Utapigwa tuu.. maana hamna namna nyingine"Kila nchi lazima kuwe na utaratibu ukijifanya mjuaji itakula kwako.
Siasa uchwara hazina nafasi
Alafu kuna siku mjinga kama huyu anatoka na kusema tuwe wazalendo.Akili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.
Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?
Hamjawajua CCM nyie.
Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
Hiki ulichokizungumza hata KIKWETE kilimletea shida(kiongozi poa)Mama kagundua kuwa ni kwanini Magufuli hakuwa na namna nyingine ya kuiendesha hii nchi zaidi ya kuwa mbogo, hivyo kaanza kuingia kwenye reli.
[emoji1542]Alivyoingia madarakani akataka kujifanya yeye atakuwa kinyume na Magufuli bila kuathirika kwa chochote, alipoanza tu kubembeleza walipa kodi hela zikaisha na kukawa na hatari ya miradi mbalimbali kukomea njiani Sasa kaona aje na Tozo Ili awakamue kabisa raia kuliko hata Magufuli.
[emoji1542]Akajifanya kutaka kuwa karibu na vyama vya upinzani, matokeo yake wakazoe na wengine wanadai watamnyoa na mwingine akasema waziwazi kabisa kuwa hawezi kumpa muda rais[emoji23], Sasa kashtuka kaanza kuwaburuza kama Magufuli.
Kiufupi mama kagundua kuwa Magufuli alikuwa sawa,na sasa kaingia kwenye reli. Kibaya zaidi anakuja kwa kasi kuliko hata mtangulizi wake.
Mbowe ,atengeneze kwanza katiba ya cdm.Halafu ndio aje atuambie kuhusu katiba ya nchi.MTU mwenyewe mwenyekiti wa kudumu.Pumbafu.View attachment 1861764
View attachment 1861765
View attachment 1861766
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)
Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.
=====
My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.
Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?
====
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Taarifa Kwa UMMA
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.
Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;
1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)
Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.
Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .
Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Serikali ipi ilifaulu kwako wewe MACHAGA??Serikali hii imefeli zaidi.
Haina muelekeo inaenda enda km gari bovu lilifeli break na steering wheel
Inaniuma sana Mbowe Jiji letu anataka kulinajisi. Lakini hii ni chuki ya Mbowe dhidi ya Mwanza Katu hafanyi vurugu hizo Kilimanjaro.Tulipumzika. Mshaanza chokochoko..! Tuacheni na Mwanza yetu tusherekee sikukuu jamani. Mmetusababishia mpaka baadhi ya barabara zimefungwa hapa...
Kwa hiyo unajivunia kwamba nyinyi ndio mmemuua?? Huna akili kabisaHuo ni uonevu lkn mwendazake alikuwa hivyo hivyo leo hii yu wapi?
Serikali ipi ilifaulu kwako wewe MACHAGA??
Wewe unaonajesisi sio matajiri tena kama alivyokuwa anasema yule marehemu?
Mama sasa hivi anapiga mpaka kanzu na dobo ......dah!!Sio uonevu,anaupiga mwingi..hamna adabu nyie mlianza kumtisha Rais,anawapa utaratibu msubirie mnstukana ,safi Sana ngoja aupige mwingi
Tunaukuza uonevu na udikteta kwenye akili zetu na kuuona ni jambo la kawaida watu wakiburuzwa, madhali tu ni wa pinzani.Mama kagundua kuwa ni kwanini Magufuli hakuwa na namna nyingine ya kuiendesha hii nchi zaidi ya kuwa mbogo, hivyo kaanza kuingia kwenye reli.
[emoji1542]Alivyoingia madarakani akataka kujifanya yeye atakuwa kinyume na Magufuli bila kuathirika kwa chochote, alipoanza tu kubembeleza walipa kodi hela zikaisha na kukawa na hatari ya miradi mbalimbali kukomea njiani Sasa kaona aje na Tozo Ili awakamue kabisa raia kuliko hata Magufuli.
[emoji1542]Akajifanya kutaka kuwa karibu na vyama vya upinzani, matokeo yake wakazoe na wengine wanadai watamnyoa na mwingine akasema waziwazi kabisa kuwa hawezi kumpa muda rais[emoji23], Sasa kashtuka kaanza kuwaburuza kama Magufuli.
Kiufupi mama kagundua kuwa Magufuli alikuwa sawa,na sasa kaingia kwenye reli. Kibaya zaidi anakuja kwa kasi kuliko hata mtangulizi wake.
Hawa ndiyo wanajiona wanajua sana, hii nchi inashida.Kama imejaa watu wasioelewa kwamba katiba ni mkataba wa kiraia kati ya viongozi na wanaoongozwa Ni tatizo kubwa.Yaani boss kutaka kuboresha mkataba ni kosa! Kwamba watu wakidai katiba ni kumchokoza rais! Na anayedai hivyo anajiita msomi na anaandika hadharani ,any way mitandao imesaidia.Kuzungumzia katiba ni kumchokoza ?! Basi atakuwa ni Mungu !!.
Ukiomba kazi ya kuongoza watu uwe mvumilivu
Waache waombee mabaya wapewe mpango ndipo watajua Kama hawajuiAkili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.
Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?
Hamjawajua CCM nyie.
Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
Thibitisha pasi na shaka kauli yako maana kwenye uchumi inaenda vizuri au kuna mradi umekwama?Serikali hii imefeli zaidi.
Haina muelekeo inaenda enda km gari bov lilifeli break na steering wheel
Thibitisha pasi na shaka kauli yako maana kwenye uchumi inaenda vizuri au kuna mradi umekwama?
Soma hiyo 👇
View attachment 1861852