Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

Wapuuzi tuu hao mtaani maisha Magumu govt inajaribu kuweka mambo sawa hata kama kutakuwa na maumivu kidogo for a while Ili baadae mambo yanyoke ndio mambo mengine ya Katiba yafuate wanaleta dharau

Serikali hii imefeli zaidi.
Haina muelekeo inaenda enda km gari bovu lilifeli break na steering wheel
 
Mbowe anahisi mama ni mwepesi ndio anamjaribu kumtingisha.

Chadema kiboko yao alikuwa jpm,ndio maana walitulia kimya kipindi cha jpm,mtetezi wao ilikuwa mitandao ya kijamii na id feki
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Akili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.

Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?

Hamjawajua CCM nyie.

Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
Alafu kuna siku mjinga kama huyu anatoka na kusema tuwe wazalendo.
 
Mtoa mada ni Pumbafu kabisa! Eti alikuwepo mtu anaitwa Chuma,Kwa hiyo nyie ndiyo mliomuua?? Kwamba mnajivunia kumuondoa duniani nyie?? Acha muendelee kunyooshwa! Nchi iko busy kupambana na umasikini kukuza uchumi nyie mko busy kutafuta namna ya kushika dola! Mnatakiwa mkaf**we huko jela
 
Mama kagundua kuwa ni kwanini Magufuli hakuwa na namna nyingine ya kuiendesha hii nchi zaidi ya kuwa mbogo, hivyo kaanza kuingia kwenye reli.

[emoji1542]Alivyoingia madarakani akataka kujifanya yeye atakuwa kinyume na Magufuli bila kuathirika kwa chochote, alipoanza tu kubembeleza walipa kodi hela zikaisha na kukawa na hatari ya miradi mbalimbali kukomea njiani Sasa kaona aje na Tozo Ili awakamue kabisa raia kuliko hata Magufuli.

[emoji1542]Akajifanya kutaka kuwa karibu na vyama vya upinzani, matokeo yake wakazoe na wengine wanadai watamnyoa na mwingine akasema waziwazi kabisa kuwa hawezi kumpa muda rais[emoji23], Sasa kashtuka kaanza kuwaburuza kama Magufuli.

Kiufupi mama kagundua kuwa Magufuli alikuwa sawa,na sasa kaingia kwenye reli. Kibaya zaidi anakuja kwa kasi kuliko hata mtangulizi wake.
Hiki ulichokizungumza hata KIKWETE kilimletea shida(kiongozi poa)
Lile jina maarufu(SUKUMA GANG) limepotelea wapi sijui!!?
 
View attachment 1861764

View attachment 1861765
View attachment 1861766

Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.

Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti (Dereva kanda ya Victoria)
9. Apollo (Afisa Habari Taifa)
10. Frank Novatus (CHASO)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benja (BAVICHA Kinondoni)

Mpaka sasa haijajulikana wamechukuliwa kwa kosa gani.

=====

My Take.
Uonevu, uvunjifu wa haki za kiraia, kutoheshimu katiba ya nchi unaendelea kwa kasi katika serikali ya Samia Suluhu Hassan.
Anyway, Aluta continua, uonevu huu utaisha oneday, dawa tutaipata tu.

Nimkumbusha Samia kuwa alikuwepo mtu katika nchi hii anaitwa Magufuli, tulimuita Chuma, Jiwe—Leo yuko wapi?

====

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Taarifa Kwa UMMA

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe..Freeman Mbowe alivamiwa na Jeshi la Polisi hotelini alipokuwa ( Kingdom Hotel) majira ya saa nane na nusu usiku na kumkamata pamoja na viongozi wengine waliokuwa naye.

Viongozi wengine walipelekwa Kituo cha Kati cha Polisi Mwanza,Ila Mwenyekiti Mbowe haijulikani alipelekwa wapi na mpaka Muda huu hakuna taarifa zozote za mahali alipo.
Waliokamatwa ni wafuatao;

1. Mhe .Freeman Mbow
2. Mhe.John Pambalu
3. Mhe. John Heche
4.Mhe. Rose mayemba
5. Masenya( Mwenyekiti Bavicha ilemela)
6. Steven Odipo
7.Dr. Azavel Lwaitama
8. Seti ( Dereva Kanda ya Victoria)
9. Apolinary Appolo (Afisa habari Taifa)
10. Frank Novatus (Chaso Mwanza)
11. Mwakiaba (Mwenyekiti Nyamagana)
12. Benjamin Kambarage ( M.kiti Bavicha kinondoni)

Tunalitaka Jeshi la Polisi kujitokeza na kusema alipo Mwenyekiti wa Taifa na sababu za kumkamata zilikuwa nini.

Tunalaani ukandamizaji huu wa Haki za Watanzania Kwa nguvu zote , na hizi NI dalili za wazi kuwa Udikteta uliokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli bado unaendelea .

Tutatoa taarifa kadiri ya Muda na jinsi tutakavyozipokea .
Mbowe ,atengeneze kwanza katiba ya cdm.Halafu ndio aje atuambie kuhusu katiba ya nchi.MTU mwenyewe mwenyekiti wa kudumu.Pumbafu.
 
Tulipumzika. Mshaanza chokochoko..! Tuacheni na Mwanza yetu tusherekee sikukuu jamani. Mmetusababishia mpaka baadhi ya barabara zimefungwa hapa...
Inaniuma sana Mbowe Jiji letu anataka kulinajisi. Lakini hii ni chuki ya Mbowe dhidi ya Mwanza Katu hafanyi vurugu hizo Kilimanjaro.
 
bora aisee wakamatwe tu maana nchi imetulia wanampa Mama yetu stress tu mama amesha waambia mpeni muda kwani hiyo KATIba mnao dai ni ya CHAMA AU WATANZANIA
 
Mama kagundua kuwa ni kwanini Magufuli hakuwa na namna nyingine ya kuiendesha hii nchi zaidi ya kuwa mbogo, hivyo kaanza kuingia kwenye reli.

[emoji1542]Alivyoingia madarakani akataka kujifanya yeye atakuwa kinyume na Magufuli bila kuathirika kwa chochote, alipoanza tu kubembeleza walipa kodi hela zikaisha na kukawa na hatari ya miradi mbalimbali kukomea njiani Sasa kaona aje na Tozo Ili awakamue kabisa raia kuliko hata Magufuli.

[emoji1542]Akajifanya kutaka kuwa karibu na vyama vya upinzani, matokeo yake wakazoe na wengine wanadai watamnyoa na mwingine akasema waziwazi kabisa kuwa hawezi kumpa muda rais[emoji23], Sasa kashtuka kaanza kuwaburuza kama Magufuli.

Kiufupi mama kagundua kuwa Magufuli alikuwa sawa,na sasa kaingia kwenye reli. Kibaya zaidi anakuja kwa kasi kuliko hata mtangulizi wake.
Tunaukuza uonevu na udikteta kwenye akili zetu na kuuona ni jambo la kawaida watu wakiburuzwa, madhali tu ni wa pinzani.

Wakiwamaliza hao watahamia kwa wengine, maana itakuwa uburuzaji umezoeleka.

Wameanza na kodi za miamala, laini na luku . Nadhani tutaelewana tu
 
Kuzungumzia katiba ni kumchokoza ?! Basi atakuwa ni Mungu !!.

Ukiomba kazi ya kuongoza watu uwe mvumilivu
Hawa ndiyo wanajiona wanajua sana, hii nchi inashida.Kama imejaa watu wasioelewa kwamba katiba ni mkataba wa kiraia kati ya viongozi na wanaoongozwa Ni tatizo kubwa.Yaani boss kutaka kuboresha mkataba ni kosa! Kwamba watu wakidai katiba ni kumchokoza rais! Na anayedai hivyo anajiita msomi na anaandika hadharani ,any way mitandao imesaidia.
 
Akili zenu sijui kama mnawaza sawa sawa.

Hata akitoka Samia, mnadhani ndio mwisho wa matatizo ?

Hamjawajua CCM nyie.

Subirini mkiwekewa MWIGULU au MPANGO tena ndio mtaanza kukimbia kama DIGI DIGI.
Waache waombee mabaya wapewe mpango ndipo watajua Kama hawajui
 
Serikali hii imefeli zaidi.
Haina muelekeo inaenda enda km gari bov lilifeli break na steering wheel
Thibitisha pasi na shaka kauli yako maana kwenye uchumi inaenda vizuri au kuna mradi umekwama?
Soma hiyo 👇

IMG-20210717-WA0000.jpg
 
Ila nkikumbuka Yale matusi , hivi kwanini hawataki kutuomba msamaha ili ionekane chadema hawaungi mkono Yale matusi. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Back
Top Bottom