Kujiita Chinembe ni matumizi mabaya ya lafudhi za kiswahili!Nimeona taarifa kuwa Rose Mayemba, katoka Mkoa wa Njombe mpaka Mwanza na kafikia hotel aliyofikia Mbowe, hii inatia shaka, kuna nini? SAA 9 usiku!
Umepiga kwenye mshonoTanzania hakuna corona ila kuna Neumonia au changamoto za upumuaji kwa sauti ya Mwendazake[emoji16]
Inawezekana ukawa na ndimi moja ila iko na chinembe.Sana
Nina ndimi moja tu
Naona bado upo kwenye zamu ya kulinda kaburiWakati anaongea juu ya msiba wa kaka yake akawaomba watu wawe wachache sana wakati wa mazishi halafu anataka Mwanza pawe na mkusanyiko kama ule aliopinga usiwepo huko kwao!.
Wanamuita Mwamba.
Anachofanya Samia ni anawapa umaarufu mfano walivyofanya mkutano wao wa katiba dar mbona ulikua kimya na hakuna aliyejua, anavyofanya hivi hata mtu ambaye alikua afuatili ataanza acha uzwazwaSio uonevu,anaupiga mwingi..hamna adabu nyie mlianza kumtisha Rais,anawapa utaratibu msubirie mnstukana ,safi Sana ngoja aupige mwingi
Hata ukijua ndiyo itaifanya kodi kichefuchefu ya miamala ifutwe?Mbowe mjanja mjanja tuh,tuna taarifa kumbe ruzuku ya hao wabunge Covid 19 ameeshanza kuchukua
Ndio wanazila ruzuku na Rose Mayemba, wanaponda raha halafu eti waandamanishe watanzania wakapondwe rungu za polisiMbowe mjanja mjanja tuh,tuna taarifa kumbe ruzuku ya hao wabunge Covid 19 ameeshanza kuchukua
Maisha magumu kivip kipindi Cha magufuli si mlikua mnasema mambo ni mazuri Leo Tena magumu haya ni maajabuWapuuzi tuu hao mtaani maisha Magumu govt inajaribu kuweka mambo sawa hata kama kutakuwa na maumivu kidogo for a while Ili baadae mambo yanyoke ndio mambo mengine ya Katiba yafuate wanaleta dharau
Umaarufu huo utawafikisha wapi akina Mbowe? Walikuwepo akina Lisu wakatengenezewa na majukwaa Ulaya na USA saizi wako wapi? Ccm si bado iko ulingoni?Anachofanya Samia ni anawapa umaarufu mfano walivyofanya mkutano wao wa katiba dar mbona ulikua kimya na hakuna aliyejua, anavyofanya hivi hata mtu ambaye alikua afuatili ataanza acha uzwazwa
Ewaa! Mimi hili ndilo nililoliona ndiyo ingelikuwa gia yao ya kwanza na katika uwanja huu kuna vingi vya kuzungumzia.Chadema wajioange vizur ujinga waache waachane na swala la katiba wadili sasa na mahitaji ya wananhi wasimame nayo majukwaani
Kwani ni Mara ya kwanza wao kwenda kunyia ndoo
Ni mara ngapi Mkuu?Kwani ni Mara ya kwanza wao kwenda kunyia ndoo
Ulitaka awe zuzu kama wewe ambaye kutwa kucha upo kwenu Biharamulo unafukuzana na sokwe na ngedere kwenye msitu wa Burigi?Ndugai hawezi kuongea kwa kujiamini namna ile kama hajaweka mambo sawa na kaka wa Hai.
Mtoto wa mjini kitambo anaijua michongo yote ya pesa.
Kwani ni mwiko kwa mwana cdm kumbandua mwana ccm?Nimeona taarifa kuwa Rose Mayemba, katoka Mkoa wa Njombe mpaka Mwanza na kafikia hotel aliyofikia Mbowe, hii inatia shaka, kuna nini? SAA 9 usiku!
Kwani wewe unaamini yalikuwa mazuri? Hizi ni zama za SSH sio za MagufuliMaisha magumu kivip kipindi Cha magufuli si mlikua mnasema mambo ni mazuri Leo Tena magumu haya ni maajabu
Huna sura wala shape ya kushindana na Rose hivyo kubali matokeo kuwa kwa sasa Mbowe kesha kutupa kwenye dust bin.Ndio wanazila ruzuku na Rose Mayemba, wanaponda raha halafu eti waandamanishe watanzania wakapondwe rungu za polisi