Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

Hauna ka video au ka picha kakionesha tukio la kuzuiliwa kuingia uwanjani.?
 
Narudia tena! Hivi CHADEMA MNA matatizo gani? Mukiachwa mumeogopwa, mkikamatwa mumeonewa! Hivi lipi jema kwenu?
 
Makolo bwana, shida tupu!
 
Safi Sana kamanda wangu! Mungu akubariki Sana!
 
Walijaribu kuwazuia, baadaye naona wakaamua kupotezea au waliona aibu baada ya kuzongwa na wananchi.
Hizi akili walizotumia hawa wavaaji wa tisheti ni za dunia ijayo. Congole kwao. Yaani ile intelijensia ya Siro haikunusa kabisa hili tukio hadi watu wakatua uwanjani
 
Tatizo lá jeshi hilo halifanyi kazi zake zinazompasa kuzifanya kisheria bali hufanya kazi zisizomhusu.

Mbona ccm hawawazui kufanya shughuli zake bali huwalimnda?
 
Mnahamasisha vurugu kwa kuratibu vijana wajinga nyie mkiwa majumbani, kisha virungu vikitembea mnaanza kulialia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…