Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Nimekuelewa, ngoja nizidi kuwa mwaminifu maana nilikuwa nishakata Tama. Nikadhani wanawake wote mko hivi.

Kama uaminifu kwako ni furaha na sio mzigo kuwa mwaminifu.
Usiwe mwaminifu kwa sababu ya mtu iwe mkeo/mmeo. Utakuja kujiua au kudhurika kijinga.

Kwa Mwanamke usilete ulokole na usabato, fanya mambo yako. Fanya kile kinachokupa furaha.

Usifanye jambo ati ili mkeo sijui asicheat, huko ni kujitesa na kuwa mtumwa.
Yeye kama ni ku-cheat muache a-cheat ukimkuta mnamwagana.

Unatakiwa ufikie hatua ambayo huogopi usaliti kwa yeyote. Huo ndio ukomavu.
Na yeyote atakayeleta usaliti unamuweka pembeni
 
Nitaishi humu.
 
Hivi uko serious kabisa Iron? Mna shida , hata kama umemsaidia unamsaidia bado ni mume wako na atakiwa kuheshimiwa, usijifanyie mambo yako sababu tu umemzidi vitu fulani, pia ulikubali mwenyewe kuolewa naye
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke.

Jamani kila siku wanaume wanafungua nyuzi za kula warembo, sioni kosa la huyu kwani najua kila mtu humu analiwa na kula...kila mtu muongo humu
Hamna mkamilifu yes wote tuna mapungufu ,but tujitahidi kujicontrol ukicheki wala hajutii anachokifanya ni kama anaona ni kitu kizuri anasimulia
 
The Best Of All Time mungozo mzima huu hapa.... ishi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…