Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

[emoji1787][emoji1787] wanaume wa jf mnashangaza[emoji108]
Kuna watu wananifata hadi pm kunitusi kisa hii thread lol
Mlidhani mie bikira Maria au?
Nishapenda Mimi,hivyo yaani[emoji1787]
[emoji28][emoji16], wanaona wivu kwa kwenda kutoa mzigo wanatamani uwape wao miuno feni usisahau na chachandu za kutia mizuka.
 
Ila mdogo wangu unavyoufuatilia huu uzi Kwa makini nukta Kwa nukta,walahi na darasani ungekuwa unafuatilia hivi Sasa hivi ungekuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG)🤣🤣
 
Hee kumbe shemeji ana milupo wazee na hausemi?🤣🤣🤣
Anayo afu ving’ang’anizi balaa 😂😂😂
Inatuma mpk wanaume wapuuzi watugombanishe ili arudi kwao, sema mzaramo nimekaza haibiwi mtu!!
Nitawapa nikimchoka na sijui mwaka gani?🤣🤣🤣
 
Anayo afu ving’ang’anizi balaa 😂😂😂
Inatuma mpk wanaume wapuuzi watugombanishe ili arudi kwao, sema mzaramo nimekaza haibiwi mtu!!
Nitawapa nikimchoka na sijui mwaka gani?🤣🤣🤣
Hee hao nao vipi!hawajui kila zama na nabii wake?
 
Kasema wewe unanisagia sana kunguni huko pm🤣Hiyo ndoa yenyewe itadumu Sasa?kila saa simu ananipigia
😂😂😂 muongo, ko uku anatuchamba pembeni anapiga simu?
Nimekwambia huyo hapo hachomoki, mbona kaanza kumiss vya kungwi mapema?
 
Back
Top Bottom