πππ Sonona zinawasumbuaKuna watu wanaboa sana sometimes yaani!hapo namuunga mkono,,Kuna jitu linaweza kuharibia tu siku bila sababu
Yaani haiwezekani kuachwa hiyo tabia?.labda sio mimi
[emoji28][emoji16], wanaona wivu kwa kwenda kutoa mzigo wanatamani uwape wao miuno feni usisahau na chachandu za kutia mizuka.[emoji1787][emoji1787] wanaume wa jf mnashangaza[emoji108]
Kuna watu wananifata hadi pm kunitusi kisa hii thread lol
Mlidhani mie bikira Maria au?
Nishapenda Mimi,hivyo yaani[emoji1787]
Hee kumbe shemeji ana milupo wazee na hausemi?π€£π€£π€£Me sipatani na milupo yako tyuuu!! Mingine mibibi imegoma kuachika π€£π€£π€£π€£
Na wewe zoa zoa khaaaa!!!
πππTreeeeenaaaa.....bado hujatheeemaaa mwari wangu, Hadi uthemeeeπ€£π€£π€£
Wanakuwa na makasiriko sanaπππ Sonona zinawasumbua
Yaani haiwezekani kuachwa hiyo tabia?
Hii imeenda sisy πππSasa ushawahi kuona kipepeo kina akili,kinafuata kila us,hata mengine Sumu kinanusa tu
Anayo afu vingβangβanizi balaa πππHee kumbe shemeji ana milupo wazee na hausemi?π€£π€£π€£
ππππ Emu niwache kwanzaIla mdogo wangu unavyoufuatilia huu uzi Kwa makini nukta Kwa nukta,walahi na darasani ungekuwa unafuatilia hivi Sasa hivi ungekuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG)π€£π€£
Kwa hiyo kelele zangu ni kazi bure?π€¦Watibeli hatubadiliki. Wanaobadilika ni wale wanaoiga tabia za wengine.
Sisi tunaonyesha ule uhalisia wetu kabisa.
Mimi ni yuleyule wa jana, leo na hata Milele
Maisha magumu kitaani jua linawaka πππWanakuwa na makasiriko sana
Hupendi ujinga!π€£ππππ Emu niwache kwanza
Hee hao nao vipi!hawajui kila zama na nabii wake?Anayo afu vingβangβanizi balaa πππ
Inatuma mpk wanaume wapuuzi watugombanishe ili arudi kwao, sema mzaramo nimekaza haibiwi mtu!!
Nitawapa nikimchoka na sijui mwaka gani?π€£π€£π€£
Kwa hiyo kelele zangu ni kazi bure?π€¦
ππππ Kipepeo kanusa ua la Ngosha, katuachia hekahekaBaharia wa kike kachomoa betri
Hajui maua mengine Sumu,,,,π€£ππππ Kipepeo kanusa ua la Ngosha, katuachia hekaheka
πππ muongo, ko uku anatuchamba pembeni anapiga simu?Kasema wewe unanisagia sana kunguni huko pmπ€£Hiyo ndoa yenyewe itadumu Sasa?kila saa simu ananipigia