lakini hakukwambia kama kuna kazi unaweza kujiamulia cha kufanya.Kumbe ndio maana brother aliwahi kuniambia nikiwa mdogo kuwa kazi za kiaskari ni za watu wasio na akili sawasawa.
Ni za watu wasioweza kuamua, kazi yao kubwa ni kusubiri amri tu.
Unaanzaje kuwaheshimu watu wanao tumiwa kama 🦮🐕🦺 na wanadamu wenzao?Aliyekuambia polisi hawaheshimiki nani?
nyoosha hao wapuuzi wasio na kazi za kufanya tena akisogea mtu vunja kiuno tutamuombea kwa Mungu ampumzishe mahari pema peponi amina
Si mnasema katiba ya sasa tuliyonayo ni ya hovyo kuliko hata ile ya shetani: sasa mbona mkibinywa kidogo tu hamchelewi kulia kwamba anayewabinya anakiuka katiba aliyoapa kuilinda? Halafu kama aliapa kuilinda, hamuoni kwamba ni ujuha kumwambia kwamba aitupilie mbali katiba hiyo (mnaiita ya Msekwa) na kuweka nyingine mnayoiita mpya aka ya Waroba aka ya Lissu/Mbowe? Utakitupaje kitu ulichoapa kukilinda na kukitekeleza? Kwa nini msisubiri hadi mtakapochukua dola ndiyo mtuletee hiyo katiba yenu mpya? Yaani kwa akili yenu mnaamini kwamba ccm wata 'install' hiyo katiba yenu mpya mnayoidai kwa kuwapigia makelele na kuwavyalia manguo mekundu na kutishia kuingia mitaani kufanya vurugu? Hilo haliwezekani, sana sana mtaishia kupasuliwa ngeo. Please come back to your senses.Kweli rais alisema Mimi na magufuli ni kitu kimoja je tulimwelewa au la?
Labba Nina swali kwenu Wana jf.kama anatoa amri kwa haya yanayoendelea kuzuia shughuli za kisiasa Sasa anaongoza nchi kwa katiba gani aliyoapia kuilinda?mbona tayari hapa anavunja haki za watu.
Atarudi kwao na treni😂😂Mama alisema "ukinizingua nakuzingua"
Dada unacheka hadi unajamba..!Hao watu wako wapi, ingieni barabarani sasa.
Wazee wa MAANDAMANO ONLINE 🤣
Wangepeleka moja Kariakoo!View attachment 1861973
Askari Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya kutoa machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka Hoteli ya Tourist eneo la Kitangiri jijini Mwanza ambako Kongamano la Katiba Mpya lililoandaliwa na CHADEMA lilitarajiwa kufanyika leo.
Kuna zaidi ya askari polisi 200.
View attachment 1861973View attachment 1861981View attachment 1861982View attachment 1861983View attachment 1861984
LEO NDIO NIMEFAHAMU UKIVAA NGUO NYEKUNDU UNA NIA YA KUMWAGA DAMU..AISEE,valentine sivai tena red,NITAWASHAURI LIVERPOOL WAVAE NYEUSIKatiba ya nchi haidaiwi kwa makongamano ya chama fulani kimoja kwa masilahi yake huku wakiwa wamevaa yunifomu nyekundu. Kuvaa nguo nyekundu wanashiria wako tayari kumwaga damu za watanzania ili kutimiza lengo lao hilo. Waanze kwanza wao kumwaga damu zao. Polisi wanawasubiri hapo Turist Hotel kuwasaidia kumwaga hizo damu zao. Tunatumaini watajitokeza.
Bora ya robbot ni kama wale wanyama nusanusa wanaoongozana naoHahahaha yaani ukiwa akili ya kipolisi pole yako....kama robot vile
Unajamba mbegeDada unacheka hadi unajamba..!
Atakayeumia ni mwananchi na hilo ndo tatizo,dola haitoumia.Hakuna haja ya kutumia busara Wakati DJ Hana busara,undava undava tu.
Shubamiti
Hakuna usiku tu duniani,na mchana upo.
IPO siku kwa ccm itakuwa usiku na kwa wapinzani itakuwa mchana
Nimependa sana utulivu wa watu wa Mwanza, wapo busy na mambo yao wanaendelea na shughuli zao na ratiba zao za Sikukuu, kujitafutia Riziki na wengine wapo wanakunywa Bia! Watu wa Mwanza wamechagua Amani, utulivu na usalama wa Taifa lao Mama Tanzania!Hahahaha yaani ukiwa akili ya kipolisi pole yako....kama robot vile
Na nyie fanyeniMbona CCM wanafanya mikusanyiko?
Ndugu zako wameshalipwa pes ya korosho ewe maamuma?Wapinzani wenyewe wako wapi sasa,
Mashinji wilbroad Slaa, Mwita waitara Joshua Nassari,mbowe na lema?
Hawa?
Katiba tunayo.Wanaweza kuzingira ukumbi, lakini hawawezi kuzingira akili za watu wanaodai katiba mpya.
Rais alishatoa msimamo kuhusu hiyo propaganda ya katiba mpya. Kinachoendelea na kukiuka maagizo Hali ya Rais na wakaidi lazima washughulikiweNi lini Makongamano yamekuwa dhambi? Busara zitumike na sio maguvu.