Hawa ni wajinga hawawezi kukuelewaHv kwa akili yako ww......
unategemea kabisa CCM waruhusu mikutano ya katiba!!?
wakubali ku surrender their political power through constitution ili CDM mpate nafasi ya kuwatoa CCM kwenye madaraka!!?
thubutu......
labda CCM ya Kenya manake huko nako kuna CCM
Heshima ya maandamano unawaza kwa kutumia makalio wewePolisi bhana! Badala ya kuungana na Watanzania wenzao na hao Chadema kudai Katiba Mpya, ili na wao siku moja waheshimike!
Wanaona bora waendelee tu kuwa Chawa wa ccm!! Viumbe wa ajabu sana hawa.
Ile ni ajari na hii pia ni ajari?WAJINGA KWELI walishindwa kuuzingira kariakoo kuuzima ule moto hadi pakateketea vile,hayo magari c yangegeuzwa kuwa ya fire hii nchi ina viongozi wa hovyo sana
So mnamkumbuka JPM arudi?Kuna watu waliona mbali wakatahadharisha kwamba Mama atakua mbaya zaidi kuliko Magufuli. Binafsi sikuamini kabisa
Kwa nini Lissu asiandike rasimu (draft) yake ya katiba mpya, wananchi wakapewa mwaka mmoja wakaisoma na kuielewa, baada ya hapo wananchi wakapiga kura na mambo yakaisha .... jambo rahisi sana. Rasimu ya Lissu si ndiyo itakuwa bora zaidi kuliko hiyo rasimu ya Waryoba? Kwa nini unaipenda sana hiyo rasimu ya Waryoba ambaye ni wa ccm na juzi hapa tumemsikia mwenyewe Waryoba akisema hiyo rasimu yake haifai, imeshapitwa na wakati.Kama mchakato wa katiba mpya ulishaanza na rasimu ikapatikana, almaarufu rasimu ya warioba......kuna shida gani kuzindua rasimu ya warioba kuwa katiba mpya, wananchi wapewe nakala ya hiyo rasimu, wapewe muda hata kama ni mwaka mmoja wasome waielewe hata kama watapata ushauri kwa wanasheria, baada ya hapo ipigiwe kura ya maoni (referendum)......yaani ni jambo rahisi kabisa ambalo haliwezi kuzuia nchi kujenga uchumi.
Lissu kaingiaje hapa, tumia akili kidogo basi hata ya kuvukia barabara....Kwa nini Lissu asiandike rasimu (draft) yake ya katiba mpya, wananchi wakapewa mwaka mmoja wakaisoma na kuielewa, baada ya hapo wananchi wakapiga kura na mambo yakaisha .... jambo rahisi sana. Rasimu ya Lissu si ndiyo itakuwa bora zaidi kuliko hiyo rasimu ya Waryoba? Kwa nini unaipenda sana hiyo rasimu ya Waryoba ambaye ni wa ccm na juzi hapa tumemsikia mwenyewe Waryoba akisema hiyo rasimu yake haifai, imeshapitwa na wakati.
Na hapo mumiliki amesha lipa kodi mwaka mzimaKwa hiyo leo hoteli hiyo haifanyi biashara..!? Au kila anayekwenda hapo anakwenda kwenye kongamano..!? Watalipa hasara itakayotokana na uwepo wao..!?
Damu inayochemka wakati wa Valentine day ina sehemu zake za kumwagikia. Siyo hiyo damu ya hawa jamaa wanaoongea kwa hasira, mapovu yakiwatoka mdomoni na mishipa ya shingo imewatoka! Polisi lazima iwadhibiti kabla hawajaingia mitaani kama walivyokusudia na wametamka hivyo hadharani.LEO NDIO NIMEFAHAMU UKIVAA NGUO NYEKUNDU UNA NIA YA KUMWAGA DAMU..AISEE,valentine sivai tena red,NITAWASHAURI LIVERPOOL WAVAE NYEUSI
Ameingia kwenye rasimu ya Waryoba mnayoidai ipigiwe kura na wananchi ili iwe katiba mpya. Bado hujaelewa?Lissu kaingiaje hapa, tumia akili kidogo basi hata ya kuvukia barabara....
Atachangiwa hasara na makamandaKwa hiyo leo hoteli hiyo haifanyi biashara..!? Au kila anayekwenda hapo anakwenda kwenye kongamano..!? Watalipa hasara itakayotokana na uwepo wao..!?
Ingekua "namkumbuka JPM arudi" ningesema.So mnamkumbuka JPM arudi?
USSR
Ni kweli, nawaza kwa kutumia makalio ya babu yako!Heshima ya maandamano unawaza kwa kutumia makalio wewe
USSR
Ndiyo! Kwani huyo mkuu wa mkoa ni nani? Siyo kada wa ccm tu? Yupo kwa ajili ya manufaa ya nani, zaidi ya ccm?Kukabiliana na watu wanaodharau amri ya mkuu wa mkoa ni kutumila kama mbwa?
Kwa hiyo pambano la simba na yanga 25/07/2021 huko kigoma halitokuwa na mashabiki wa soka uwanjani?Mikusanyiko kipindi hiki haifai. Kuna milipuko ya magonjwa.
Jeshi la polisi linaingia katika mtego wa kijinga kabisa. Wanapotandaz jeshi likiwa na silaha za moto huku vyombo vya habari vikipiga picha zanazorushwa duniani kote, nani anapata mileage? Kumbuka hawa watu walitaka kufanya mdahalo wa ndani kuhusu dai la katiba. Kama CCM haitaki katiba ni sawa tu maana katiba haiwezi kupatikana kama wao hawataki. Kumbuka wao ndo wana serikali na wanamiliki vyombo vya dola. Lakini kwa nini wakataze wengine hata kujadili? Mara zote ni bora kutumia busara kuliko nguvu!View attachment 1861973
Askari Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya kutoa machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka Hoteli ya Tourist eneo la Kitangiri jijini Mwanza ambako Kongamano la Katiba Mpya lililoandaliwa na CHADEMA lilitarajiwa kufanyika leo.
Kuna zaidi ya askari polisi 200.
View attachment 1861973View attachment 1861981View attachment 1861982View attachment 1861983View attachment 1861984