Mwanza: Polisi wauzingira Ukumbi litakapofanyika Kongamano la Katiba Mpya

Yani hii nchi uwa nashindwa kuilewa kabisa

Hii picha ni muda huu Mwanza yaani police wamejipanga kweli toka SAA 8 usiku mpaka muda huu wapo kazini ila hawana uwezo kupitia zima moto kuzima moto wa soko dogo kama kariakoo.
 
Ubovu wa ccm unajiami kwenye dora sio vitu vya muhimu ili wabakie madarakani
 
Acha kuwa mjinga wewe soma nilichokiandika nimekwambia kwa umakini acha kuwa kama unaliwa
Ww kwa akili yako polisi wanazima moto?....hebu tulia uandike heading iliyotulia,alafu punguza matusi,mm sipendi upigwe ban,,, JARIBU kueneza mawazo yako bila matusi 🧐🧐
 
Mbona Kongamano la Kudai Katiba Mpya lililofanyika Dar lilifanyika bila bugudha hili la Mwanza Nongwa imetoka wapi?
 
Gari la maji ya kuwasha yapo full full
Ila gari la Zima moto maji wanafata Airport [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…