Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

Aikumbuke Mwanza angalau kujengewa barabara za mitaa kwa kiwango cha lami au hata barabara za mawe maana kumeharibika mitaani Nyasaka centre to Miti mirefu hakufai hovyo kabisa
 
piga kazi mama etu. utatuvusha tuna imani na wewe
 
Baada ya kuipiga mnada bandari yetu, sasa mama wa kizanzibar anakwenda kucheka cheka na wasukuma.

Tanganyika kumejaa vizazi vya wajinga watupu!
 
Ile fedha iliyojengewa Airport Chato ingetiwa hapo Daraja lingeisha Long time
Uongo hilo daraja linahitaji zaidi ya bilioni 800 kutokana na kushuka kwa thamani ya Tsh
 
Aikumbuke Mwanza angalau kujengewa barabara za mitaa kwa kiwango cha lami au hata barabara za mawe maana kumeharibika mitaani Nyasaka centre to Miti mirefu hakufai hovyo kabisa
Kuna mitaa zimetengenezwa. Kama maduka tisa Ukombozi ipo ya mawe, Nyamanoro, na hapo Uwanja wa mbuzi pia wanaweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…