Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

Mbona hatembelei mradi wa jengo la uwanja wa ndege Mwanza. kulikoni hawampangii akaone madudu na ili atoe maelekezo ya kuondoa hali hiyo.
 
Mbona hatembelei mradi wa jengo la uwanja wa ndege Mwanza. kulikoni hawampangii akaone madudu na ili atoe maelekezo ya kuondoa hali hiyo
 
IMG-20230612-WA0001.jpg
 
Huyu mtu sina imani nae kabisa, akiwa hapo atajidai kuongea maneno ya kizalendo kama vile anatujali sana wabara, lakini akienda kwa wajomba zake Oman anatusaliti.
Kuwa na wajomba Oman imekuwa nongwa tayari!. Mje na pointi zenye maana kwa maslahi ya taifa.
 
Ile fedha iliyojengewa Airport Chato ingetiwa hapo Daraja lingeisha Long time
Ile mil 100 ya mzee Sabodo haikununua hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu. Wajanja walipiga yote. Afadhali kiwanja cha Chato ni mali yetu sote!
 
Back
Top Bottom