Uchaguzi 2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

Uchaguzi 2020 Mwanza: Shule zasitisha masomo, Wanafunzi waambiwa wakampokee na kumsikiliza Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

Niko kishiri hapa nimesikia mwanafunzi wa fumagila secondary akimuambia mama yake kwamba kesho wanatakiwa kwenda ccm kirumba hakuna shule kesho, duh.
Hivi mtoto wa mtu asipoenda kirumba watamfanyaje ?, mimi nafikiri hawa wanafunzi wafike mahala wajitambue, unaacha kwenda unakaa nyumbani unapumzika ni muda mzuri wa kuangalia tamthilia, kule mkoani kagera mwaka 2015 kuna wanafunzi fulani shule moja ya sekondari walikataa kufanya kazi ya kutengeneza kura hewa kama ambavyo walikuwa wameagizwa na mkurugenzi wa eneo hilo, na wakaenda mbali zaidi kwa kuzitupa zile karatasi za kupigia kura walizokuwa wamepewa na wakawaambia waandishi wa habari, hao ndio aina ya wanafunzi wanaotakiwa kwa zama hizi.
 
Back
Top Bottom