Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

Walimu wa nchii kama wana laana vile..yani laki 1 ndio ya kumfanya mtu aandamane. ?

Ndio mana nilikataa na siku zote sitaruhusu ndugu ama rafiki awe mwalimu..bora atafute kazi nyingine ya kufanya.

Ualimu ni umasikini wa kujitakia.

#MaendeleoHayanaChama
Ni haki yao hata kama ni kidogo.

Heri yako wewe uliyetosheka na ulicho nacho
 
Hao walimu unaowadharau ndiyo wanaokufundishia watoto wako.

Tuwape heshima basi kwa kujitolea kwao. Ni haki yao kudai kilicho chao, wewe unaona laki moja ndogo, bila ya kuifanyia kazi nani atakupa hiyo laki bure bure tu?
Akiwa na shughuli zake anawasambazia kadi walimu.
 
Huu ujinga mim nilishaukataa siku nyingi,sijui sensa,uchaguz huwa siombi,maana unafanya kaz baada ya hapo kulipwa mnaanza kuchomwa jua,hasa hii wilaya yetu ya sengerema uhuni ni mwing kwanza ukipambana mwenyew mtaan unakuta unapata hela nying zaid ya hyo
 
na kuhonga kote ili "wafikiliwe zaidi" bado wamekopwa, pumbavu Sana!

Hii nchi ngumu, Nina class mate wangu ambaye form four aliambulia four ya mwisho, ni katibu muhtasi taasisi moja nyeti nchini (TRA, BOT, ...) ana kazi za nje ya kituo mikoani huko..hadi mwenyewe anachagua aende au asiende maana ni za kumwaga, kwa wiki anakunja milioni 2 hadi 3....

Nesi wa hapa N'gwashilalage ambaye yeye ndio daktari, mfamasia, laboratory technician (kazi zote anafanya yeye) serikali haina habari naye hata kumpa kifuta jasho cha IST tu ya mtumba!...

Namalizia na wimbo; Mbinguni kuna makao mazuri, Mbinguni kuna furahaaaa X3
Kwa wiki mil 2 hadi 3.
Kwa mwezi mil 8 hadi 12.
Kwa mwaka mil 96 hadi 144.
Bado mshahara.

Asee, naamini wewe uliyeambulia matokeo mazuri unakunja mara 2 au 3 zaidi ya huyu class mate wako.

Nchi ngumu sana hii.
 
Washapigwa,jasho lao lishaliwa na wajuba

Ova
Ilikua lazima wapigwe
Kazi ilikua ni ya 30000 kwa siku 1, kwa muda wa miezi miwili.
Wakurugenzi wakabadili gia angani na kuwa kazi ya siku 5 kwa malipo ya 20000. Bado tu hawakushtuka. Na serikali kuu wala haikuhitaji kuingilia imeacha kila mtu akate mnofu wake kwa kadri anavyoweza.
Bado sensa
 
Kwa wiki mil 2 hadi 3.
Kwa mwezi mil 8 hadi 12.
Kwa mwaka mil 96 hadi 144.
Bado mshahara.

Asee, naamini wewe uliyeambulia matokeo mazuri unakunja mara 2 au 3 zaidi ya huyu class mate wako.

Nchi ngumu sana hii.
Mimi nakula kwa jasho langu, nipo zangu kwenye karasha la kusaga mawe nikiambulia 0.5gram ya dhahabu ni sherehe, narundika rudio kwa ajili ya kwenda plant.... Matumaini ya kutoboa kama King Musukuma yapo makubwa!
 
Walimu wa nchii kama wana laana vile..yani laki 1 ndio ya kumfanya mtu aandamane. ?

Ndio mana nilikataa na siku zote sitaruhusu ndugu ama rafiki awe mwalimu..bora atafute kazi nyingine ya kufanya.

Ualimu ni umasikini wa kujitakia.

#MaendeleoHayanaChama

Kwaiyo rafiki ako unamzuiaje asiwe mwalimu mkuu?? Acha zarau fala wewe bila mwalimu wewe ungekuwa unajitambua???

Hawa watu waheshimiwe na wapewe Haki yao ilo ndo la msingi ila kusema ni laana au sio kazi sio Sawa.... we unafikiri kusingekuwa na walimu nani angetufundisha hao wakurugenzi waache ujanja janja wawape pesa yao..... sio ndo kwa mwalimu itamsaidia mambo yake...... unaikataa laki na hauna ata mia
 
Back
Top Bottom