Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

Salamu za Mei mosi hizo!

"Mama" hataki nidhamu ya uoga ya awamu ya tano.
Hapo wa kulaumiwa si mhasibu tu,Kuna kamtandao hapo.Uchunguzi huru ufanyhke kujuwa kwanini hawajalipwa na walipwe.Kutembea kutwa inatesa.
 
Amkeni amkeni Tanga napo pesa zimepigwa zoezi watu hawajalipwa pesa zao za siku mbili tena wengine wamelipwa hadi 40000 kwa wiki
 
Vaeni t-shirt zilizoandikwa katiba mpya mtapewa fedha zenu haraka sana
 
Back
Top Bottom