Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

Ni haki yao hata kama ni kidogo.

Heri yako wewe uliyetosheka na ulicho nacho
 
Hao walimu unaowadharau ndiyo wanaokufundishia watoto wako.

Tuwape heshima basi kwa kujitolea kwao. Ni haki yao kudai kilicho chao, wewe unaona laki moja ndogo, bila ya kuifanyia kazi nani atakupa hiyo laki bure bure tu?
Akiwa na shughuli zake anawasambazia kadi walimu.
 
Huu ujinga mim nilishaukataa siku nyingi,sijui sensa,uchaguz huwa siombi,maana unafanya kaz baada ya hapo kulipwa mnaanza kuchomwa jua,hasa hii wilaya yetu ya sengerema uhuni ni mwing kwanza ukipambana mwenyew mtaan unakuta unapata hela nying zaid ya hyo
 
Kwa wiki mil 2 hadi 3.
Kwa mwezi mil 8 hadi 12.
Kwa mwaka mil 96 hadi 144.
Bado mshahara.

Asee, naamini wewe uliyeambulia matokeo mazuri unakunja mara 2 au 3 zaidi ya huyu class mate wako.

Nchi ngumu sana hii.
 
Washapigwa,jasho lao lishaliwa na wajuba

Ova
Ilikua lazima wapigwe
Kazi ilikua ni ya 30000 kwa siku 1, kwa muda wa miezi miwili.
Wakurugenzi wakabadili gia angani na kuwa kazi ya siku 5 kwa malipo ya 20000. Bado tu hawakushtuka. Na serikali kuu wala haikuhitaji kuingilia imeacha kila mtu akate mnofu wake kwa kadri anavyoweza.
Bado sensa
 
Kwa wiki mil 2 hadi 3.
Kwa mwezi mil 8 hadi 12.
Kwa mwaka mil 96 hadi 144.
Bado mshahara.

Asee, naamini wewe uliyeambulia matokeo mazuri unakunja mara 2 au 3 zaidi ya huyu class mate wako.

Nchi ngumu sana hii.
Mimi nakula kwa jasho langu, nipo zangu kwenye karasha la kusaga mawe nikiambulia 0.5gram ya dhahabu ni sherehe, narundika rudio kwa ajili ya kwenda plant.... Matumaini ya kutoboa kama King Musukuma yapo makubwa!
 

Kwaiyo rafiki ako unamzuiaje asiwe mwalimu mkuu?? Acha zarau fala wewe bila mwalimu wewe ungekuwa unajitambua???

Hawa watu waheshimiwe na wapewe Haki yao ilo ndo la msingi ila kusema ni laana au sio kazi sio Sawa.... we unafikiri kusingekuwa na walimu nani angetufundisha hao wakurugenzi waache ujanja janja wawape pesa yao..... sio ndo kwa mwalimu itamsaidia mambo yake...... unaikataa laki na hauna ata mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…