Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

Unaona hata upeo wako ulivyo mdogo..unashindwa kujibu hoja unaanza kutukana..walimu mnashida sana.

Ndio watumishi pekee waolilia lia kila uchwao..na ndio toilet pepa ya chama cha mashetani.

Pole sana

#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama
 
Kimfaacho mtu chake
Kama wamefanyakazi kwa jasho basi walipwe kabla jasho lao halijakauka
 
Wewe jamaa ni hasara kwa taifa kiufupi una ujinga uliopitiliza.
 
Amka toka usingizini
 
Pia waendelee kujiandaa mei mosi inakuja. Sijui na penyewe wataandamana maana hawapati kitu kwa maushungi.
 
Watajuana wrnyewe na serikali yao ya ccm
 
Wewe jamaa ni hasara kwa taifa kiufupi una ujinga uliopitiliza.
Mimi sikukulazimisha ukasome ualimu..ona onavyoteseka na kuja kunitukana..pambana na hali yako.
Ualimu kwa nchii ni janga..kwanza wengi wenu ni felia...ndio mana mnatumika.

#MaendeleoHayanaChama
 

Ualimu ni laana au? Mmetoka tena wapi kwenye Postkodi mungu wa mbinguni?​

Watoto mliwaacha wapi ukaende kwenye huo ujinga?​

Kazi za hivyo walimu achaneni nazo mnadhalilika mnooooo​

 
Mimi sikukulazimisha ukasome ualimu..ona onavyoteseka na kuja kunitukana..pambana na hali yako.
Ualimu kwa nchii ni janga..kwanza wengi wenu ni felia...ndio mana mnatumika.

#MaendeleoHayanaChama
Mimi siyo mwalimu wala sisomei ualimu ila nagpigania haki na UADILIFU ,nimeona hujatumia lugha ya busara na hekima Ktk kuwasikisha mawazo yako .

Walimu wamenifundisha vitu vingi kwa upendo na UADILIFU mkubwa wkt mwingine wanatusaidia kimawazo ,kutufariji ,kutupongeza shuleni pamoja na kutuongoza kwenye WEMA kwa upendo mkubwa wakati mwingine wanakuwa zaidi ya wazazi.Hivyo lazima iniume nikiona wanakoselewa na kudhalilisha bila adamu kwani natambua michango yao Ktk maisha ya watu wengi ukiacha mbali na kuwasomesha tu.
 
wewe ni nani ambaye laki moja siyo hela kwako, udalali wa nyanya hapo tandale umekujaza kiburi unatukashifu walimu tunaokufundishia wanao
 
Unaona hata upeo wako ulivyo mdogo..unashindwa kujibu hoja unaanza kutukana..walimu mnashida sana.

Ndio watumishi pekee waolilia lia kila uchwao..na ndio toilet pepa ya chama cha mashetani.

Pole sana

#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama

Tusi lipo wapi? Nipo tofauti na wewe kimtazamo.... then mimi sio mwalimu ila nimejaribu kuwasemea kwasbabu wanachodai ni Haki yao....!!!

Wewe mwenye upeo mkubwa nataka kujua unachofanya ili kutimiza wajibu wako kwenye familia yako.....
 
Yaani ukiingia jf bhana unaweza sema nchi nzima ni matajiri isipokuwa mwalimu.


Kumbe ukute anaemcheka yuko dar kwa dada yake analala sebuleni kama baiskeli

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilichojifunza ni kwamba watu wana fake sana maisha mtu Mtanzania kabisa kuukashifu ualimu hivi na kuapa hutaruhusu ndugu yako awe Mwalimu sioni logic ya kuulaani ualimu kiasi hicho na wengi wao huunga mkono kukashifu unakuta hata ajira hana tupunguze mihemko ndugu zangu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…