Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

Kaka N'gwashilalage Kwimba ndani ndani huko kuna mawe balaa[emoji16][emoji16] Usiombe kuajiriwa huko lakini kwa uzalendo uliotukuka binafsi nimelitumikia Taifa maeneo hayo sana tu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Bora yako wewe..wenzio tulipitia mikono ya chuma ya walimu vilaza walio kuwa na stress kama za hao walimu wa mwanza.

#MaendeleoHayanaChama
 
wewe ni nani ambaye laki moja siyo hela kwako, udalali wa nyanya hapo tandale umekujaza kiburi unatukashifu walimu tunaokufundishia wanao
Pole sana mwalimu kaendeshe boda kukuza kipato.

#MaendeleoHayanaChama
 
Katika watumishi wote..walimu ndio kutwa kulialia na kulalamika mitandaoni..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kaka N'gwashilalage Kwimba ndani ndani huko kuna mawe balaa[emoji16][emoji16] Usiombe kuajiriwa huko lakini kwa uzalendo uliotukuka binafsi nimelitumikia Taifa maeneo hayo sana tu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mkuu wewe ni mzalendo wa kweli, hata Mimi pia nimelitumikia Taifa langu huko, nimezalisha wajawazito kwa mwanga wa mshumaa na Hakika Mungu ndiye atakayenilipa!
 
Hakikisha mwanao hafanyi kazi hizi itokee tu bahati mbaya,

Ualimu
Polisi
Uhasibu

Kazi za lawama hizo ni kutesa watoto tu.
 
Kama umeelimika ukupaswa kusema yote ayo laki cyo pesa ndogo na unajua
 
Hii kazi ya kiduwanzi sana yaani ni shidaaaa na umasikini tu
 
Tusi lipo wapi? Nipo tofauti na wewe kimtazamo.... then mimi sio mwalimu ila nimejaribu kuwasemea kwasbabu wanachodai ni Haki yao....!!!

Wewe mwenye upeo mkubwa nataka kujua unachofanya ili kutimiza wajibu wako kwenye familia yako.....
Siku ukijua utaishia kucheka....
 
Mkuu acha hizo dharau kwa walimu, unaonyesa utoto ulikubuhu. Unataka wasidai haki zao? Kwako hiyo laki ni ndogo ila si kwao.
 
Haya mtwambie kazi zao alikuwa anafanya nani maana masomo yanaendelea,je waliwezaje kuwepo kazini siku ya jumatatu mpaka ijumaa kuanzia 1:30 mpaka 9:30 kama sheria ya utumishi inavyotaka?
Je walikuwa walikuwa wakifanya kazi hizo baada mda wa kazi ama?au walifanya siku za wikiendi?
 
Acha kufuru wewe, kwa hiyo unataka nchi isiwe na walimu au?
 
Kuna vijana wengi hawana ajira cha ajabu hizo kazi wanawapa walimu.

Walimu nao wamezidi tamaa si bora wangebaki madarasani kufundisha Stadi za Kazi
 
Ila kwa mwendazake walipata
Hakuna siku ambayo serikali ya CCM itawajali watumishi wa umma. Never ever.

Hata hizo sifa za watumishi wanazompa kikwete ni basi kwa vile hawakumbuki mwaka 2012 wakati wa mgomo ilikuwa kwa kikwete yuleyule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…