Mwanza: Wamiliki wa baa na kumbi za starehe waandamana kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Wanaandamana vijana wasio na kazi ..ukitazama Tu Sura hakuna mmiliki WA bar hata mmoja happy..
Wamelipwa kuandamaana...wanataka haki ya kupiga watu kelele
Si rahisi kuona wamiliki maana kuna baadhi ya biashara hizo wamiliki wake ni viongozi. Pale mtunga sheria anapogeuka kuwa mvunja sheria haya matatizo lazima yajitokeze.
 
Hii nchi ya ajabu sana, tangu uhuru watu wanaishi vizuri wakinywa na kuburudika sasa yanakuja majitu awamu ya sita yanataka kutuharibia life style yetu kwa sababu za imani zao za karne ya saba
 
wananchi wamefikia hatua ya kupinga sheria ya nchi? Kwanini kipindi cha rais huyu? kuna jambo. Msukuma si ni sukuma gang? Mama asipokuwa mkali akaonesha mfano atashindwa kuitawala hii nchi.
 
wana kibali cha kuandamana? Kwa hiyo siku hizi hakuna kuomba ruhusa polisi kuandamana? Nchi yetu inaelekea wapi? Huyu rais anafikiri ye ni mstaarabu sana au anafikiri hao wananchi ndio wastaarabu zaidi yake. Tangia siku wale wanaojiita wafanyabiashara kariakoo walipofunga maduka serikali ikaenda kuwabembeleza niliona mchezo ndio umeanza. Walikuwa wanamtukana waziri wa fedha, kumtukana waziri indirectly walikuwa wanamtukana rais. Leo watu wahalifu wanaandamana, nani kawapa kibali? Kwanini wasinyanganywe leseni? Ndio wakati sasa watendaji wa serikali watamwachia kila jitu rais waone km ataweza kuendesha nchi mwenyewe.
 
Makalla kila anapokwenda anapeleka matamko yasiotekelezeka kupelekea maandamano.

Nahisi angepumzishwa katika haya mambo ya ukuu wa mkoa aachwe ndani ya chama tu.

Sasa hivi tutasikia soko limeungua huko.
we nawe poyoyo huna akili, Makalla ndio kaitishe maandamano?
 
watoto wa mama nani atawagusa. Kiongozi gani atajaribu kuwagusa, hata polisi wameufyata. mama wa maridhiano, watafanya maridhiano muda si mrefu. hakuna sheria sahvi. Mbona naona afadhali ya Mwinyi?
 
Kelele ni kero zinaharibu afya (stress) na kupunguza hadhi/ thamani za nyumba zetu zilizo karibu na baa. Funga Mama watoto wasome kwa utulivu. Ulaya madisco na mziki pelekwa Mabuki na Chalinze..
 
Hii nchi ya ajabu sana, tangu uhuru watu wanaishi vizuri wakinywa na kuburudika sasa yanakuja majitu awamu ya sita yanataka kutuharibia life style yetu kwa sababu za imani zao za karne ya saba
imani ipi we mlevi mpumbavu. Rais huyu ndio katunga sheria ya mazingira, tumia kichwa kufikiri siyo makalio
 
Hatar sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…