Mwanza: Wamiliki wa baa na kumbi za starehe waandamana kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Tatueni hoja zao,unamshambulia Musukuma binafsi kwani kuna maandamano au madai yasio na kinara na waratibu,

Mwambie Makala wamtafutie eneo lingine,Mwanza hatumtaki
 
Kwa nini wanaondamana ni wamiliki na si wateja? Wateja wakiandamana inaleta mantiki tofauti na kwa wamiliki wanaoshindana wao kwa wao kwa kupiga kelele..
 
Nchi hii aisee! Hivi wateja hawaji bila kelele? Miundombinu ya kuzuia kelele ni bei gani? Wanataka haki ya kupiga kelele au Kufanya biashara.

Labda tuwaulize walevi na washinda baa, bia hazishuki bila kelele? Vipi kuhusu lounges ambazo watu wanaenda kuhang’ na hakunaga makelele wanafanya Vipi biashara.

Mama Samia Over to you, Tz ukiwa mpole watakuchezea sana!
 
Wakomae nao hivyo hivyo si wamesema hawatafungua basi wasifungue
 
Mbona walokole bado wanapiga makelele na mnaona sawa tu?
Hilo sio tatizo letu, ni tatizo la wenye mamlaka wanayaogopa hayo makanisa, Sisi kama wananchi tunataka kelele ziishe ziwe za makanisa, bar, mashine, bodaboda, wale vijana wa hovyo wa alteza na subaru etc 🤣

Serikali iache double standards, wamefungiwa walipa kodi, hao wezi wa sadaka wanaachwa kwanini!

Bora waambiwe kelele zisizidi masaa ma3 kwa siku, tena mchana.
 
Afurushwe huyo mkuu wa mkoa kila aendapo anazalisha maandamano na ukiukwaji wa taratibu
 
Mwanzo walitishia kugoma...wakapima upepo wakaona hapana..
Sasa wanaandamana kudai wapige kelele??
Wanhetawanywa wakati wanaandamana halafu wafungiwe bar zao wafugie kuku humo lazima watu wengine wamefungua.
 
Huu uzi ni maalumu wa kuigusa CV ya Mbunge Msukuma.

Watu wa chama wanatake note na kupeleka taarifa

Sisi tuendelee kujadili kupiga muziki bar
 
Kesho zitapigwa kibiriti shetani wa moto amekuja
 
Wapumbavu kabisa hao jamaa
Wapumbavu Kwa lipi? Ukishatoa kibali Kwa watu kufanya biashara ya baa uwaache wafanye biashara Kwa matakwa ya biashara hiyo. Wateja wanainjoi na kunywa zaidi wakisikia makele. Acheni hizo nyie wanywa juice.
 
Binafsi huwa sipendi kelele ila raha kuishi mjini ni makele hasa ya magari na muziki.
 
Wapokonywe leseni za biashara haraka sana. Hakuna kubembelezana.
Acha upuuzi, wapokonywe Kwa lipi? Halafu utapata Nini? Acha wivu wa kijinga. Kama wewe haupigi mtungi ni wewe, acha watu na mambo yao.
 
Wamiliki wa baa mnaonesha njia hongereni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…