troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,573
Tatueni hoja zao,unamshambulia Musukuma binafsi kwani kuna maandamano au madai yasio na kinara na waratibu,Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango.
Inadaiwa kuwa Mbunge Musukuma ndiye ‘mastermind’ wa hii kitu, kama hivyo ndivyo basi kuna shida inaelekea kutokea.
Anashinikiza na kuwaandaa watu waandamane kisaa Hotel yake ni moja ya zilizofungwa kwa kupiga kelele. Alitakiwa aweke vifaa vya kuzuia kelele kuliko kusumbua majirani.
View attachment 2635261Updates...
View attachment 2635262
View attachment 2635263View attachment 2635264
View attachment 2635265
===================
Wamiliki wa Hoteli na baa zaidi ya mia tatu Mwanza waandamana hadi kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakiendelea kupinga faini na sheria za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) huku wakisema hawatafungua hoteli na baa zao hadi waruhusiwe kupiga muziki.
Mwambie Makala wamtafutie eneo lingine,Mwanza hatumtaki