Mwanza: Wanafunzi Mapacha wa Chuo cha Mipango wafariki Dunia kwa kuzama Ziwa Victoria

Basi hilo ziwa lina matatizo sio buree
Maziwa yote yanaweza kuwa na matatizo....hutegemeana na kina ,mzunguko wa maji ,pepo zinazovuma ,majira ya nyakati za mwaka ,uwezo duni wa kuogelea ,human fatalities kama misuli kugoma ,cardiac arrest ...na yale mambo yetu yaleeee....wavuvi wenye HEKIMA tunayajua....[emoji1787][emoji1787]
 
Siamini katika kupangiwa kifo
Hata Mimi siamini huu ujinga na mtu akiamin hvyo huwa namuona kama mwehu , yaani Imani ya namna hii inafanya mtu apunguze umakini wa kukabiliana na hatari akifikr imepangwa hvyo na hii ndo hasara ya kuwa na kundi kubwa la wajinga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo kufa na kuishi ni lazima kuwepo ndani ya "control" yako ?!!!
 
Ni aina ya samaki ana mwili wenye umeme,nakumbuka katika bahari,msichana wa kihindi aligongwa na samaki huyo,wakatika kasimama kwenye maji,mda huo huo aligeuka rangi na kuwa mweusi sana,alikufa hapo hapo.
[emoji106]
 
Mungu awapokee waja wake.

Mie maji ya kwenye jaba nayaogopa. Seuse kuogelea!
 
Sure
Sure....Some are coming from barbaric societies where fear of God is missing among them
True....

...and barbarians are neither agnostic nor atheists [emoji1787] they are just ignorant as you put forth....

Mungu yupo na shetani yupo.....uchaguzi ni wetu....[emoji1787]
 
Hata Mimi siamini huu ujinga na mtu akiamin hvyo huwa namuona kama mwehu , yaani Imani ya namna hii inafanya mtu apunguze umakini wa kukabiliana na hatari akifikr imepangwa hvyo na hii ndo hasara ya kuwa na kundi kubwa la wajinga
Pole Sana,kwa kudhani unajua kumbe hujui hata sekunde mbele moja mbele yako Nini kitakupata.
 
Pole Sana,kwa kudhani unajua kumbe hujui hata sekunde mbele moja mbele yako Nini kitakupata.
Kiburi cha uzima kinamsumbua....

Labda ni kwa sababu hafanyi kazi katika mazingira magumu....ila wenzake kila uchao tunauza roho....na kabla ya kuzianza shughuli za kila siku tunajikabidhi kabisa kwa Muumba kwa kuamini kuwa "kibakwe" kinatulilia muda wowote na kuwa mwisho wetu wa kuinjoi "JF" [emoji1787]

YETZER HATOV[emoji120]
SHAVUA TOV[emoji120]
ALLAHU AKBAR[emoji120]
 
Mungu awapokee waja wake.

Mie maji ya kwenye jaba nayaogopa. Seuse kuogelea!
Amen[emoji120]

[emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo mkuu si "swimming pools" tu hata katika Jacuzi wee huyataki ?!!!

Mkuu hebu tutafute Suluhu ya kuiondoa hiyo phobia yako kwani kuna wakati kuna raha yake mking'wenyana na shemeji ndani ya maji.....[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…