Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Mkuu wangu relax....pole sana mkuu.....Dah! Kifo kimenifanya niwe mwehu kabisa kuna mda naitaji msaada wa kisaikolojia
Unahitaji tu elimu ya maisha.....
Kifo si adhabu.....
Usiogope kifo.....
Kinakuja muda wowote na hakikwepeki.....wekeza kutafuta hela kwa nguvu UINJOI maisha....usikere watu ,usiumize wengine kisaikolojia....kama unakunywa gambe kunywa usipitilize ukajivunjia heshima na hata "kupakwa mafuta" [emoji1787][emoji1787]
Wapende watu na usiwachukie.....fanya mazoezi....ikiwezekana "meditation".....usiwe OPTIMISTIC NA PESSIMISTIC sana......
Kila kitu fanya kati na Kati....
Tenga muda wa ibada na maombi ila.....
Dini isikufanye mjinga taahira na mpumbavu.....
Enjoy "sex"......[emoji1787][emoji1787]
Tegemea PEPO paradiso ya BWANA baada ya kufa....
Life's too short just cherish it out.....muda wowote na kwa sababu yoyote tu kinaweza "kunuka"na ukakata pumzi.......
Yetzer hatov ,Allahu alaa kulli shay in Qadiir [emoji120]
Jah bless [emoji120]