Mwanza: Wawili wauawa kwa kushukiwa Majambazi

Mwanza: Wawili wauawa kwa kushukiwa Majambazi

It’s obvious hujasoma habari yenyewe lakini uko Tayari sana kuweka maoni yako based on your political biases!

Hii habari wewe umeipataje bila waandishi wa habari?

Wito wa polisi kufika eneo la tukio wakati tukio likiendelea umetoka wapi kama sio kwa wananchi?
Ambatisha picha zako hapa ambazo zilichukuliwa katika eneo la tukio (scene of crime photos) kama unazo.
Unafikiri Watu wote hapa ni Wajinga au wapumbavu Kama ulivyo wewe? I know very well Police Officers of Tanzania.
Taarifa zao nyingi Sana wanazotoa huwa ni za kutengenezwa ( fabricated news).
Jeshi la Polisi eti wanandai kwamba "waliuawa watu wawili na Watu wengine wawili wametoroka kwa kutumia pikipiki na Jeshi hilo eti linaendelea kuwatafuata hao Watu wengine wawili waliotoroka."!!
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Hapa umeleta ujuaji wa Baba Levo
 
Back
Top Bottom