Mwanza: Wawili wauawa kwa kushukiwa Majambazi

Mwanza: Wawili wauawa kwa kushukiwa Majambazi

Dawa ya majambazi ni kuyaua tu hakuna namna. Dawa ya moto ni moto.
hakuna huruma kwa jambazi yeyote.
Exactly yes. Mbona na yeye jambazi huwaga hana huruma wala cha mswalie mtume.
 
Wewe utakuwa punguwani huna akili kabisa yaani ulitaka waite waandishi wa habari usiku kwenye eneo la tukio!!? Kwani wananchi waliokuwa pale kwenye tukio umeenda kuwahoji wakasema siyo kweli? Nenda kachukue mizoga ya ndugu zako majambazi hapo Bugando.
Hilo lililojiri hapo kwenye eneo la tukio ni Tangazo tosha.
 
Wewe utakuwa ni mhalifu mzoefu yaani wamekamatwa na bunduki na mapanga bado wananchi wametoa taarifa ya uhalifu huo, wewe bado unatetea hayo majambazi!! Wakutafute na wewe wakupige risasi ya kichwa huna faida duniani.
Huyo uliyemjibu naona ni wale aina ya watu ambao akimfuma mwizi ndani ya nyumba yake, anaanza kwa kumuuliza eti "Wewe unaitwa nani?"
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Wewe pia ni sehemu ya hao wanawake dume wa madela, unataka tukutetee!
 
Sasa jeshi la polisi litaua wangapi,ujue ukimkamata mshukiwa Kwanza inakurahisishia kiupelelezi,wanaweza kutajanq na kusaidia kupata zaidi ile chain ya hao Criminals.

Pia kila binadamu ana haki ya kuishi kikatiba,iweje jeshi liue?

Tuna watu waoga Sana kwenye majeshi yetu wasio na uwezo wa kuarrest mtu,yeye wepesi wake ni kuua tu
Wa south africa walikuwa na mawazo kama yako zamani,wezi wakachukuliwa kwa upole na kwa kuzingatia haki za binaadamu, leo crime rate ya SA ni uncontrollable, wakina Hellen Zille wanapiga kelele kuhusu haki za binaadamu watu wanawaona kama wehu tu, there is no peace in midst of war, grab that.
 
Watu hao walikuja kwa lengo gani wakiwa wamejizatiti kwa silaha ya moto? Risasi ni risani tu na haijalishi imetoka kwenye shortgun au smg. Inajeruhi au kuua. Kwa hiyo walipewa majibu mubashara.

Mkuu vp?; Ulitaka nao Polisi warudi kituoni kuchukua shotgun ya kienyeji ili ngoma iwe fair game? Cjui bisibisi na mapanga wangeyapata wapi usiku huo aisee.
Mkuu utatetea sana,lakini ukwel unabaki palepale.
Jeshi la hovyo sana,wamekalia siasa TU.
Propaganda tu ndo kazi zao.
 
Hiyo siyo hukumu, hapo walienda kukamata.
Na kukamata mtuhumiwa wenye vithibitisho vya ujambazi ni lazima, either awe hai au amekufa, baada ya hapo ifuate hukumu.

Jambazi kaambiwa weka silaha chini tukukamate kwa upole yeye amegoma. Unataka polisi achukue hatua gani ili kutimiza Kiapo chake cha kulinda raia na mali zao.
Nina ndugu ambaye ni polisi ananielezea maana ya polisi kupambana na majambazi.

Karibia marehemu wote wana majeraha ya risasi kutokea nyuma.

Usidhani sijui ninachokiongea
 
Msidhani maovu mnayoyafanya yana usiri mkubwa.
Hao walio chini ya amri huwa hawana amri ya kufunga midomo yao
Like a said; “You are a Simple Clout Chaser”!

Sasa imagine unarukia rukia watu hovyo Kama inzi wa chooni?!?

“Msidhani “? Mimi na akina nani?
 
Ningekuwa Mimi ningepeleleza kwanza kama kweli ni jambazi na siyo kuambiwa tu yule jambazi na kupiga risasi
WEWE NI MPUMBAVU.

KWAHIYO UNGEFIKA KWENYE TUKIO,UKAWAAMBIA MAJAMBAZI WAJISALIMISHE,WAKAKATAA,HALAFU UNGEPELELEZA HAPOHAPO KWENYE TUKIO HUKU WAKIWA WAMEKATAA KUJISALIMISHA?

HIVI UNACHOBISHA NI NINI HAPA?
 
WEWE NI MPUMBAVU.

KWAHIYO UNGEFIKA KWENYE TUKIO,UKAWAAMBIA MAJAMBAZI WAJISALIMISHE,WAKAKATAA,HALAFU UNGEPELELEZA HAPOHAPO KWENYE TUKIO HUKU WAKIWA WAMEKATAA KUJISALIMISHA?

HIVI UNACHOBISHA NI NINI HAPA?
Huo mstari wa kwanza kabisa hapo juu ndo saizi yake.
 
Back
Top Bottom