Mwanza: Wawili wauawa kwa kushukiwa Majambazi

Mwanza: Wawili wauawa kwa kushukiwa Majambazi

We inaonekana ni ndugu yao unafaidika na huo ujambazi. Sijaona mtu wa hovyo km wewe. Wananchi wapige kelele baada ya kuingia kwa nguvu getini wakiwa na silaha bado badala upongeze jeshi unaandika huu utumbo?
Nitapongezaje jeshi ambalo huiba kura na kuisaidia ccm ili kupata ushindi Kwa kuahidiwa tu vyeo uchwara
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Polisi wanamsemo wao wa TII SHERIA BILA SHURTI.

Jambazi kaambiwa jisalimishe tukukamate, hataki. Ungekuwa wewe ni Bwana polisi ungechukua hatua gani?
 
Polisi wanamsemo wao wa TII SHERIA BILA SHURTI.

Jambazi kaambiwa jisalimishe tukukamate, hataki. Ungekuwa wewe ni Bwana polisi ungechukua hatua gani?
Ningekuwa Mimi ningepeleleza kwanza kama kweli ni jambazi na siyo kuambiwa tu yule jambazi na kupiga risasi
 
Mkuu walikua na bunduki ya kienyeji na mapanga mawili ya nini nyumbani kwa mtu kama sio majambazi
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Bilashaka we ni jambazi pia,ukamatwe haraka kkenge wewe.
 
Sheria ipi inawapa mamlaka polisi kutekeleza hukumu ya kifo kabla ya hukumu kusomwa?
Hiyo siyo hukumu, hapo walienda kukamata.
Na kukamata mtuhumiwa wenye vithibitisho vya ujambazi ni lazima, either awe hai au amekufa, baada ya hapo ifuate hukumu.

Jambazi kaambiwa weka silaha chini tukukamate kwa upole yeye amegoma. Unataka polisi achukue hatua gani ili kutimiza Kiapo chake cha kulinda raia na mali zao.
 
Polisi hawana weledi wa kuthibitisha kuwa watuhumiwa ni majambazi... Most of stories ni fabrications kutoka kwao. Mafunzo ya polisi siku hizi ni kuua na siyo kuzuia na kudhibiti.

Ninawaombea kwa Mungu awapatilize kila askari na kizazi chake kwa kunyofoa roho za watu kila wanapotaka kufanya hivyo
Jf imevamiwa na majambazi hakyamungu.
 
Sema nini wabongo tupunguze UNAFKI binafsi polisi siwakubali kabisaaa tena kabisa yani lakini kuna mazingira unaona kabisaa walikua na haki wewe mtu ana bunduki na mapanga linatokea limtu limetopea kwenye wanzuki linadai polisi wafanye uchunguzi ,

Huo uchunguzi unaufanya saa ngapi watu wana silaha ya moto na wamegoma kujisalimisha? Haya basi ni wakwe wa huyo mama walienda kumsalimia mkwe wao na bunduki na mapanga mana ndo habari tunayotaka

Mamaqe ; hivi mnajua jambazi au mwizi akikutia kwenye kumi na nane anachoweza kukufanyia? Acheni habari zenu nyie
 
Ningekuwa Mimi ningepeleleza kwanza kama kweli ni jambazi na siyo kuambiwa tu yule jambazi na kupiga risasi
Kwahiyo ungeondoka kwenye tukio ukawaacha waende/waibe kisha uanze kupeleleza.

Wamepewa nafasi wekeni silaha chini, tuwapeleke mahakamani wamekaidi agizo.

Wangekuwa na akili wangekubali kukamatwa kisha wakaenda kujitetea mahakamani.
 
Kwa mama Samia kila aina ya uhalifu na ujambazi na ufisadi umerudi
 
Duuh!! Umarekani mwingi sana, maelezo hayo yanaridhisha kabisa kuwa walikuwa majambazi bado unalaumu jeshi la polisi. Watanzania tuna kasoro si bure
Jeshi la Polisi kwa kiasi kikubwa Sana haliaminiki, watu Wana haki ya kutilia mashaka kuhusu taarifa zao wanazotoa kwa sababu nyingi ya taarifa hizo ni za kutengenezwa (fabricated news).

Baada ya kuuawa hao Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi, Askari Polisi waliotekeleza tukio hilo walipaswa kuwaita watu(majirani) pamoja na Waandishi wa Habari muda huo huo ili kuuthibitishia umma juu ya kutoa ushiriiiano wa kutoa taarifa za Wahalifu kwa Jeshi hilo la Polisi kwa lengo la kudhibiti matukio ya Uhalifu Kama hayo yaliyopelekea vifo vya watu hao Watuhumiwa. Kitendo hicho kingesaidia kusababisha Watu/Wananchi pole pole kuanza tena upya kuliamini Jeshi la Polisi juu ya utendaji kazi wao, pia Kitendo hiki kingesaidia kujenga public awareness juu ya UMUHIMU na wajibu wa wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kutokomeza uhalifu na wahalifu.

Watu wengi Sana wamepoteza kabisa imani dhidi ya Jeshi la Polisi.
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Kha! Yan saa 2:45 usiku watu wamebeba bunduki, mapanga na bisibisi na tayari wameshaingia bila idhini ndani ya nyumba isiyo mali yao au makazi yao halafu ww bado unahitaji uthibitisho kwamba hao sio watu wazuri? i.e. ni majambazi. Vipi hao wababe wangekuwa wameingia kwako ungeliwachekea au kuwakaribisha chai sebuleni/mezani?
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Soma vizuri basi unaambiwa walikuwa wakijihami na shortgun na mapanga, hata kama kuna muda tunawachukia polisi ila wkt mwingne wanasaidia sn .
Imagine hao ngiri wangefanikiwa ni damu ngapi za.wasio na hatia zingemwagika?
 
Nitapongezaje jeshi ambalo huiba kura na kuisaidia ccm ili kupata ushindi Kwa kuahidiwa tu vyeo uchwara
Kwa hiyo unalinanga Jeshi hilo kwa tuhuma zisizo na uthibitisho? Mwizi si huwa anakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria au watu wenye "hasira kali" humalizana naye?
 
Back
Top Bottom