Mwanza: Wawili wauawa kwa kushukiwa Majambazi

Ambatisha picha zako hapa ambazo zilichukuliwa katika eneo la tukio (scene of crime photos) kama unazo.
Unafikiri Watu wote hapa ni Wajinga au wapumbavu Kama ulivyo wewe? I know very well Police Officers of Tanzania.
Taarifa zao nyingi Sana wanazotoa huwa ni za kutengenezwa ( fabricated news).
Jeshi la Polisi eti wanandai kwamba "waliuawa watu wawili na Watu wengine wawili wametoroka kwa kutumia pikipiki na Jeshi hilo eti linaendelea kuwatafuata hao Watu wengine wawili waliotoroka."!!
 
Yaani watu wanahisiwa tu kuwa majambazi na kuuawa na polisi.Tunajeshi la polisi la hovyo sana ambalo halifanyi uthibitisho kuwa anayekamatwa kafanya kosa au hajafanya.Jeshi linaongozwa na washamba sana
Hapa umeleta ujuaji wa Baba Levo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…