Naihurumia familia yake sanaDuh! Pole nyingi sana ziwafikie familia ya marehemu. Na hasa mke na watoto. Wanapitia kipindi kigumu sana kwa kuomboleza kwa muda wote huu...
Naihurumia familia yake sanaDuh! Pole nyingi sana ziwafikie familia ya marehemu. Na hasa mke na watoto. Wanapitia kipindi kigumu sana kwa kuomboleza kwa muda wote huu...
Yah! Kufiwa kunaleta maumivu makali sana. Na ugumu unakuja pale ambapo huyo mpendwa wako hutokuja kumuona tena hapa duniani.Naihurumia familia yake sana
Ni vizuri wakati mwingine kuwa jasiri, sababu uerevu wako uliojaa ujasiri utakuwa wazi kwa kila mmoja kuona, lakini kwa ujasiri huo huo kama ni mjinga ujasiri wako utafanya ujinga wako uonekane na kila mmoja wetu.Kama unapata maumivu makali hivi ya moyo kwa sababu ya mimi kuchangia nyuzi za huyo magufuli, si ufe tu mkuu!...
Wangeeenda na kwetu NTWARABaada ya hapa mngeanza tena Arusha ifuatie Bukoba.
Nilishatoa angalizo lakini. Tujibizane kwa hoja badala ya kejeli na matusi. Anyway, nimeupokea ushauri wako.Ni vizuri wakati mwingine kuwa jasiri, sababu uerevu wako uliojaa ujasiri utakuwa wazi kwa kila mmoja kuona, lakini kwa ujasiri huo huo kama ni mjinga ujasiri wako utafanya ujinga wako uonekane na kila mmoja wetu.
Sio kesho ni keshokutwaAisee! Bora hiyo kesho ifike mapema ili marehemu apumzike sasa! Maana chamoto amekiona. Siyo kwa kuzungushwa huko!!
👍Kuna mdau pia amenijulisha hapo juu.sio kesho ni keshokutwa
Atakuwa Raia wa kawaida tu, kumbuka tuna Boss mpya.Na akizinduka Sabaya anaukwaa u PM, si kwa chozi lile.
Ebu acha utani kalia kweli, Bashite huenda huko alipo anazimia.Na akizinduka Sabaya anaukwaa u PM, si kwa chozi lile.
Hivi bashite tuko wapi?Ebu acha utani kalia kweli,Bashite uenda huko alipo anazimia.
Kutoka katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza tayari viongozi wa kiserikali na Chama cha Mapinduzi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Mwanza na mikoa jirani wameshaanza kuingia kwenye uwanja huu tayari kumuaga mpendwa wetu Dk John Magufuli.
Mageti ya uwanja wa CCM Kirumba yamefunguliwa toka saa 12 alfajiri na wananchi ni wengi sana ambao wako nje ya uwanja wakiendelea kuingia kwenye uwanja huu.
Mikoa zaidi ya mitano ya Mwanza, Shinyanga, Geita, Tabora na Mara yote wananchi wake kwa uwingi wao wanaendelea kuingia kwenye uwanja huu.
Mwili wa aliyekua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli aliyefariki Machi 17 mwaka huu utaagwa kwenye uwanja huu kabla ya kusafirishwa kwenda nyumbani kwake Chato, Geita kwa ajili ya mazishi.
=====
View attachment 1733091View attachment 1733092View attachment 1733093View attachment 1733094View attachment 1733095View attachment 1733096
View attachment 1733044
MWANZA: Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umeshawasili Mwanza ambapo idadi kubwa ya Wananchi wameonekana wakiwa wamejipanga barabarani na wengine wakisindikiza mwili wakati ukipelekwa Uwanja wa CCM Kirumba.
Dkt. Magufuli alifariki dunia Machi 17, 2021 na anatarajiwa kuzikwa Machi 26 Chato Mkoani Geita.
Baada ya mwili wa Hayati Rais Magufuli kuwasili jijini Mwanza, utapelekwa nyumbani kwa mjane wake, Mama Janeth Magufuli, maeneo ya Busisi, kupitia katika daraja la Kigongo-Busisi.
Jeneza lenye mwili wa Hayati Rais Magufuli litasimamishwa Busisi kwa dakika 10, kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho.
Baada ya mwili huo kutolewa heshima za mwisho mjini Busisi, utapelekwa Wilayani Sengerema, Geita Mjini hadi Katoro wilayani Chato, Mkoa wa Geita.
Ni kesho kutwa sio kesho kwa mujibu wa Pm MajaliwaAisee! Bora hiyo kesho ifike mapema ili marehemu apumzike sasa! Maana chamoto amekiona. Siyo kwa kuzungushwa huko!!
Hujamuona uwanjani mkuu, wakati wa kuaga kawekelea mpk salutiHivi bashite tuko wapi?
Ni MagufuliPaul Makonda ameaga sasa hivi Mwili wa Hayati Magufuñi kwa kuupigia Saluti