Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
mambo yakusikitisha mkuu. haya yote yalikuwa na haja gani au wanashindana na mtu fulani?. nchi inaingia kwenye aibuUmeingizwa kisiasa kabisa
mambo yakusikitisha mkuu. haya yote yalikuwa na haja gani au wanashindana na mtu fulani?. nchi inaingia kwenye aibuUmeingizwa kisiasa kabisa
haziwezi. nusura yake ilikiwa kutubu na kumrudia Mungu kabla ya mauti. Kuitwa jeshi hakuondoi dhambiJe hiyo itamuondolea dhambi za kuharibu maisha ya watu?
Hata mm naona wanaenda fast sana jaman ..ila wamewakosea sana wakazi wa Mwanza aisekama wameamua kuenda mwendo mkali hakuna mantiki yoyote ya kurusha mubashara namna wanavyouburuza mwili wa ndugu yetu.
kama mbio za mwengeHawa watu wapuuzi kweli wanavyokwenda speed kama wapo kwenye mashindano ya Formula 1
huwezi jua labda mwili umechina,wanawahishaHata mm naona wanaenda fast sana jaman ..ila wamewakosea sana wakazi wa Mwanza aise
Duh...maskini....huenda...na joto hili...dah...amesumbuka sana baba wa watuhuwezi jua labda mwili umechina,wanawahisha
hii ya mwanza wangepotezea tu,huyu mzee akapumzishwe. ingekuwa rahisi hata kesho wangezika jamani. hurumaDuh...maskini....huenda...na joto hili...dah...amesumbuka sana baba wa watu
Tena Risit ya Efd....Mwamba kalale Kwa Amani!!Baada ya faida inapatikana hasara si ajabu akiishazikwa ukasikia federal reserve imeisha,yaani kama akifufuka leo jamaa kibao watafukuzwa kazi kwa ubadhirifu wa hela,lazima angesema mungelinizika siku ilele hii hela ikasaidia waliopo hai,mnaacha kuchapa kazi mnahangaika na maiti,wewe nani alikuambia unizungulushe kila kona,nani alikutuma, aafu anajifanya kama anafikiria azabu ya kukupa ,nataka uniambie ulitumia hela ngapi haya maziko yangu na uambatanishe na risiti kama hutaniletea kazi huna na utazilipa.
Hapo kati hajaweka kile kibwagizo chake cha "hiiiiiiii hiiiiiii"...Baada ya faida inapatikana hasara si ajabu akiishazikwa ukasikia federal reserve imeisha,yaani kama akifufuka leo jamaa kibao watafukuzwa kazi kwa ubadhirifu wa hela,lazima angesema mungelinizika siku ilele hii hela ikasaidia waliopo hai,mnaacha kuchapa kazi mnahangaika na maiti,wewe nani alikuambia unizungulushe kila kona,nani alikutuma, aafu anajifanya kama anafikiria azabu ya kukupa ,nataka uniambie ulitumia hela ngapi haya maziko yangu na uambatanishe na risiti kama hutaniletea kazi huna na utazilipa.
Eh Makonda nae anazunguka na mwili? Kwa bajeti yake ya mfukoni au? Kweli katika watu wanaokula raha hapa duniani na yeye yumo.Paul Makonda ameaga sasa hivi Mwili wa Hayati Magufuli kwa kuupigia Saluti
Ulidhani daraja la busisi lingejengwa kama hapo jirani sio kwà mama mzaa chema?Kumbe BUSISI ni kwa Mama Mzaa chema!
Hivi mwili wa mwanadamu unawezastahimili ile dawa ya kutokuharibika kwa muda gani?Hata mm naona wanaenda fast sana jaman ..ila wamewakosea sana wakazi wa Mwanza aise
wanamburuza mithili ya mateka wa kivitaHata mm naona wanaenda fast sana jaman ..ila wamewakosea sana wakazi wa Mwanza aise
Mie babu alivyodead alichomwa hapo sindano hom ila dk akasema asiguswe ngoz..akasema dawa inakaa 4dys...hatukumgusa kbs ..akakaa 4dysHivi mwili wa mwanadamu unawezastahimili ile dawa ya kutokuharibika kwa muda gani?
Unaonea wivu maiti!!.Sema mwamba wa Chato tangu 1995-2015
Ok Ahsante sana Mkuu.Mie babu alivyodead alichomwa hapo sindano hom ila dk akasema asiguswe ngoz..akasema dawa inakaa 4dys...hatukumgusa kbs ..akakaa 4dys