Mwanza: Yaliyojiri kwenye kuaga mwili wa Hayati Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

Mwanza: Yaliyojiri kwenye kuaga mwili wa Hayati Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

Waache watu waonyeshe hisia zao kwa mpendwa wao. Kuwaita ndugu zako mang'ombe sio Sawa,lakini wewe utakuwa ng'ombe kasoro mkia.
hisia kwenye kuvuka barabara kuhamia upande wa pili msafara unapokaribia?huko ni kuonyesha hisia? sio kuhatarisha usalama wa msafara? wewe nawe utakuwa ng##ombe
 
Kama unapata maumivu makali hivi ya moyo kwa sababu ya mimi kuchangia nyuzi za huyo magufuli, si ufe tu mkuu!!

Kwani habari ya mjini kwa sasa ni nini? Mbona umejipa cheo kigumu hivi cha kunifuatilia? Na siendi kokote sasa! [emoji56]

Nikiona tu uzi wa kumhusu magufuli na ccm, nakuja faster! Sababu si unaifahamu mzee mzima ras jeff kapita ?
Hili jibu lazima ashushie na panadol huko alipo
 
Mbona shughuli za kuaga mpendwa wetu hayati JPM leo CCM Kirumba, Zimesimamishwa ghafla na mwili unabebwa kurudishwa kwenye gari?
Mwanza, kwa wapiga Kura wake, ndo Jiji la pili kwa ukubwa na kuwa na watu wengi baada ya Dar lakini bila taarifa mpendwa wao ameagwa kwa muda mfupi sana kuliko Dodoma hata Zanzibar. Haya MaCCM yanatuletea utamaduni wa ajabu wa kuzunguka na maiti kama fisi na mzoga au wa kupeleka maiti kwa waombolezaji badala ya utamaduni wa Mwafrika uliozoeleka wa waombolezaji kwenda msibani nyumbani kwa Marehemu. Hata Waislam wa Zanzibar wameacha matakwa ya Dini yao ya kuheshimu sana maiti hata ya Kafiri na kuzika haraka sasa tunashuhudia wanaozunguka na maiti bila Barakoa wala Barkashia utambulisho pekee wa Muislam uliobaki baada ya kutupilia mbali Kanzu na Buibui kwa wanawake. Wangekuwa na akili hata ndogo tu, maiti ya Mkazi wa miaka 6 ingeagwa Dar siku moja na kupelekwa moja kwa moja Chato ili wapendwa wake wote Nchi nzimà waende wakamuage huko. MaCCM yangeshangaa watakaofika kumuaga!
 
Umefanya jambo jema sana. hawa wanaomchuuza mwenzetu angani, vichochoroni, darajani, na mitaani wanataka tufiwe wengi. Maana kule dar karibu kila kata kuna msiba wa kukanyagana pale uwanja wa uhuru. Watu wamebaki na vidonda vya kufiwa ndugu zao wa karibu kwa sababu ya wanayezurula naye kila kona. Azikwe ili tupumue na tuwe na amani maana kuna watoto walikuwa wanatoroka na kwenda kukanyagwa huko. Mbaya zaidi wanakataza kusafirisha maiti za ndugu zetu. Eti sharti wazikwe hukohuko Dar. kKwa nini?
Imekua simanzi na vilio sasa kwa wananchi kupoteza familia kama yule mama pamoja na watoto wake wote wame pass away
 
Back
Top Bottom