kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Tumpe lissu hii pole kwangu zimetosha!Pole
Tumpe lissu hii pole kwangu zimetosha!Pole
UN bendera nusu mlingoti!Sema mwamba wa Chato tangu 1995-2015
Nipo salama kama mambo yalivyopangwa na tunatarajia kukamilisha yale yote yalioandikwa kwenye ilani ya ccm wembe ni ule ule hatucheki na kima!Sipati picha vibaraka wake mna hali gani huko mliko ?: Mwacheni Mungu aitwe Mungu maana ndio hakimu wa haki .
Nimeona mkuu, mda ule nauliza alikuwa hajatokeaHujamuona uwanjani mkuu, wakati wa kuaga kawekelea mpk saluti
Niliposimamia Mimi Uchaguzi alishinda kihalali kabisaa....Nasikia et aliiba kura
Wew huna akili. Yaani unaleta ujuaji wako kwenye msiba. Unataka kiongozi wa nchi azikwe kizembe kama wewe okorrooo hakuna anaekujua.We nawe toa gundu hapa, Kodi zetu hizo.
Umefanya jambo jema sana. hawa wanaomchuuza mwenzetu angani, vichochoroni, darajani, na mitaani wanataka tufiwe wengi. Maana kule dar karibu kila kata kuna msiba wa kukanyagana pale uwanja wa uhuru. Watu wamebaki na vidonda vya kufiwa ndugu zao wa karibu kwa sababu ya wanayezurula naye kila kona. Azikwe ili tupumue na tuwe na amani maana kuna watoto walikuwa wanatoroka na kwenda kukanyagwa huko. Mbaya zaidi wanakataza kusafirisha maiti za ndugu zetu. Eti sharti wazikwe hukohuko Dar. kKwa nini?Leo nimemkataza kabisa mama asiende uwanjani maana najua tunaweza mpoteza tumemuwekea TV kubwa alilie sebuleni yaishe
Waache watu waonyeshe hisia zao kwa mpendwa wao. Kuwaita ndugu zako mang'ombe sio Sawa,lakini wewe utakuwa ng'ombe kasoro mkia.Hivi hawa wanaovuka barabara ghafla gari za msafara zinapokaribia wanakuwa wanatafuta nini. Watz tupo kama mang'ombe
Magu ana Watoto 7Hayati Magufuli ana watoto wangapi? Je majina yao ni akina nani?
Jerry Murro amekiri wazi kabisa kwamba haelewi maisha atayaendeshaje maana alishikwa mkono na huyu Marehemu na sasa hayupo na hana mtu wa kumshika mkono tena! Halafu huko Yanga ambako angeenda nako timu haifanyi vizuri. Tabu tupu! Halafu Vincent Mashinji alikuwa bado kwenye list ya kupewa cheo. ndio hivyo tena.Nawawazia sana wale wote waliohama upinzani kwa lengo la kuunga Juhudi za Hayati Magu.
Sijui watarudi walipotoka ama watatafuta sababu nyingine.
Ana wake wangapi? Msifiche.Magu ana Watoto 7
Suzan, Edna, Mbali, Jesca, Joseph, Jorgan , wa saba otea wewe.
Ana wake 20Ana wake wangapi? Msifiche.
Mods,huu ulikuwa Uzi unaojitegemea ukiwa na kichwa cha habari tofauti na hapa mlikouleta.Awali ya yote niwape Watanzania wenzangu POLE kwa msiba wa Rais wa JMT Dr JPM.RIP Nimekuwa nikifuatilia taarifa za Watanzania wa maeneo teule wakitoa heshima zao kwa mwili wa Hayati JPM,aliyekuwa Raisi wa 5 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nimesikia wana wa Mwanza wakitamka hilo neno la JESHI muda wote,nikafikiri labda ni kwa kuwa Hayati JPM alikuwa Mwanajeshi?Ama kuna jingine?
Kuuliza si ...