Kutoka katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza tayari viongozi wa kiserikali na Chama cha Mapinduzi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Mwanza na mikoa jirani wameshaanza kuingia kwenye uwanja huu tayari kumuaga mpendwa wetu Dk John Magufuli.
Mageti ya uwanja wa CCM Kirumba yamefunguliwa toka saa 12 alfajiri na wananchi ni wengi sana ambao wako nje ya uwanja wakiendelea kuingia kwenye uwanja huu.
Mikoa zaidi ya mitano ya Mwanza, Shinyanga, Geita, Tabora na Mara yote wananchi wake kwa uwingi wao wanaendelea kuingia kwenye uwanja huu.
Mwili wa aliyekua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli aliyefariki Machi 17 mwaka huu utaagwa kwenye uwanja huu kabla ya kusafirishwa kwenda nyumbani kwake Chato, Geita kwa ajili ya mazishi.
=====
View attachment 1733091View attachment 1733092View attachment 1733093View attachment 1733094View attachment 1733096
View attachment 1733044
MWANZA: Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umeshawasili Mwanza ambapo idadi kubwa ya Wananchi wameonekana wakiwa wamejipanga barabarani na wengine wakisindikiza mwili wakati ukipelekwa Uwanja wa CCM Kirumba.
Dkt. Magufuli alifariki dunia Machi 17, 2021 na anatarajiwa kuzikwa Machi 26 Chato Mkoani Geita.
Baada ya mwili wa Hayati Rais Magufuli kuwasili jijini Mwanza, utapelekwa nyumbani kwa mjane wake, Mama Janeth Magufuli, maeneo ya Busisi, kupitia katika daraja la Kigongo-Busisi.
Jeneza lenye mwili wa Hayati Rais Magufuli litasimamishwa Busisi kwa dakika 10, kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho.
Baada ya mwili huo kutolewa heshima za mwisho mjini Busisi, utapelekwa Wilayani Sengerema, Geita Mjini hadi Katoro wilayani Chato, Mkoa wa Geita.
Hahahaha unataka kusema atakuwa na kizungu zungu.. Magu tutakukumbukaAisee! Bora hiyo kesho ifike mapema ili marehemu apumzike sasa! Maana chamoto amekiona. Siyo kwa kuzungushwa huko!!
Huyu P.M amini mama atampa nafasi kubwa kwenye serikali yakePaul Makonda ameaga sasa hivi Mwili wa Hayati Magufuñi kwa kuupigia Saluti
Wacheeni aagwe makamanda wenzanguBaada ya hapa mngeanza tena Arusha ifuatie Bukoba.
PoleMwamba wa africa mwenye maamuzi magumu pumzika kwa amani!
Afe nae kama kweli ana uchunguNa akizinduka Sabaya anaukwaa u PM, si kwa chozi lile.
Hiyo ni protocal ya Mazishi ya watu mashuhuri mkuu!! Sisi kwamba Nani anachagua bali Ni Sheria iliyotungwa tangia hapo awali nadhani hata Yeye hayati JPM alikuwa akiifahamuBaada ya faida inapatikana hasara si ajabu akiishazikwa ukasikia federal reserve imeisha,yaani kama akifufuka leo jamaa kibao watafukuzwa kazi kwa ubadhirifu wa hela,lazima angesema mungelinizika siku ilele hii hela ikasaidia waliopo hai,mnaacha kuchapa kazi mnahangaika na maiti,wewe nani alikuambia unizungulushe kila kona,nani alikutuma, aafu anajifanya kama anafikiria azabu ya kukupa ,nataka uniambie ulitumia hela ngapi haya maziko yangu na uambatanishe na risiti kama hutaniletea kazi huna na utazilipa.
Time will telUnahangaika ww jamaa.....
lkn mtabaki nafasi ya upinzani mpaka mwisho wa dunia hiyo ndio haki yenu iliyobaki
Kama njia zako zimenyooka deal zipo kila sikuWala sihangaiki Leo nimepiga Breakfast ya nguvu Dili zinarejea
Ya mauaji tena ya wapinzani wa Serikali yake? Maana nasikia huyo jamaa yako alikuwa ni kiongozi wa kile kikundi cha watu wasio julikana. Na ushahidi upo!!Huyu P.M amini mama atampa nafasi kubwa kwenye serikali yake
Ova
Hata kubali yule asiyepangiwa, atapangua kiapo cha mama.Atakuwa Raia wa kawaida tu, kumbuka tuna Boss mpya.
Sawasawa
Umeingizwa kisiasa kabisaHuu ni msiba au kampeni? anayeimbisha hawa wahuni ni nani