Mwanza: Yaliyojiri kwenye kuaga mwili wa Hayati Magufuli Uwanja wa CCM Kirumba

Naihurumia familia yake sana
Yah! Kufiwa kunaleta maumivu makali sana. Na ugumu unakuja pale ambapo huyo mpendwa wako hutokuja kumuona tena hapa duniani.

Yaani bora uachwe na mpenzi/mke/mume wako! Ila siyo kufiwa.
 
Kama unapata maumivu makali hivi ya moyo kwa sababu ya mimi kuchangia nyuzi za huyo magufuli, si ufe tu mkuu!...
Ni vizuri wakati mwingine kuwa jasiri, sababu uerevu wako uliojaa ujasiri utakuwa wazi kwa kila mmoja kuona, lakini kwa ujasiri huo huo kama ni mjinga ujasiri wako utafanya ujinga wako uonekane na kila mmoja wetu.
 
Ni vizuri wakati mwingine kuwa jasiri, sababu uerevu wako uliojaa ujasiri utakuwa wazi kwa kila mmoja kuona, lakini kwa ujasiri huo huo kama ni mjinga ujasiri wako utafanya ujinga wako uonekane na kila mmoja wetu.
Nilishatoa angalizo lakini. Tujibizane kwa hoja badala ya kejeli na matusi. Anyway, nimeupokea ushauri wako.
 
Yule mzee mwenye uwezo wa kulisimamisha jiji la Dar es Salaam (nyomi) Tundu Lissu anakuja safarii hii tujiandae kutembea kilometa 60 kwa miguu
 
Nawawazia sana wale wote waliohama upinzani kwa lengo la kuunga Juhudi za Hayati Magu.

Sijui watarudi walipotoka ama watatafuta sababu nyingine.
 
Baada ya faida inapatikana hasara si ajabu akiishazikwa ukasikia federal reserve imeisha,yaani kama akifufuka leo jamaa kibao watafukuzwa kazi kwa ubadhirifu wa hela,lazima angesema mungelinizika siku ilele hii hela ikasaidia waliopo hai,mnaacha kuchapa kazi mnahangaika na maiti,wewe nani alikuambia unizungulushe kila kona,nani alikutuma, aafu anajifanya kama anafikiria azabu ya kukupa ,nataka uniambie ulitumia hela ngapi haya maziko yangu na uambatanishe na risiti kama hutaniletea kazi huna na utazilipa.
 
Reactions: Mj1
Nawaangalia wanaopita hapo kutoa heshima zao na walio majukwaani pia - inaonekana 30% ni majonzi, 40% wana rejoice na waliobaki wapowapo tu!
 
Paul Makonda ameaga sasa hivi Mwili wa Hayati Magufuli kwa kuupigia Saluti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…