Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano




CHADEMA Walijua watajaza uwanja lakini wafuasi wao wamewageuka hii inaonyesha kwamba wanachadema wamepoteza wafuasi wengi na inatabili kwamba 2025 chadema watakuwa na hali mbaya sana

Wanatia huruma aisee
 
Kwa nini mkachangua Mwanza wala isiwe,
A; Arusha
B; Dar es salaam
C; Mara
D; Moshi?
Mikutano yenu hii kwa raia tusio na vyama tutafaidika nayo vipi?
Hoja zenu zitakuwa na nguvu kiasi gani?
Serikali ya ccm ya awamu ya 5 iliwazuieni kufanya mikutano na hiyo hiyo serikali ya ccm ya awamu ya 6 imewaruhusu kufanya mikutano, je mtakuwa na nguvu pamoja na ujasiri kufichua madudu yao wote wawili kama yapo au mmepangiwa mambo ya kusema na ccm?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Furanisha kama watu wamezidi sana ni 250 labda, watu wachache sana, watu wamewachoka CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…