Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Baada ya dalili zote za mkutano wa Chadema jijini Mwanza kudoda, katibu mkuu wa chama hicho bwana Mnyika ameonekana akizurula mitaani na masokoni akikagua bei ya vyakula na changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi, lakini namshauri ili apate angalau uungwaji mkono kidogo kutoka kwa wananchi wa Mwanza aende atembelee miradi yote waliyokuwa wakiipinga kama daraja la kigongo- busisi na ujenzi wa meli mpya ziwa victoria maarufu kama Mv Mwanza hapa kazi tu.
Akifika kwenye hiyo miradi awaombe wananchi wasimame kwa dakika moja kama heshima kwa mwasisi wa miradi hiyo hayati rais Magufuli na kisha awaombe radhi wana Mwanza kwa yote yaliyopita.
 
Mkutanoni hakuna pa kuweka mguu.

HATA MIMI NINAONA
20230121_162517-jpg.2490218
 
Mkuu Molemo , asante sana, tutafuatilia live kutokea hapo Uwanja wa Furahisha, naamini besides live ya Molemo Media, pia kutakuwa na live za mainstream media ambazo zina national wide coverage kama TBC, ITV, Star TV, Channel Ten, na Azam TV.
I wish Chadema all the best, leo ni kweli macho na masikio ya Watanzania wote, hadi wale "jamaa zetu" ni viwanja vya Furahisha, huku wengi wakiwa very high expectations na ku anticipates kuwa Mbowe atakiwasha!, huku tunaojua ukweli tunajua hawezi kukiwasha kufuatia wema mkubwa Mama aliomtendea, licha ya kumfutia kesi na kumuachia huru, pia Mama amekuwa mwema zaidi kwa kum icapacitate kwa capacity building kuwazesha mambo yawe, ikiwemo funding some activities including vikao na trips ikiwemo overseas, hivyo haitegemewi shukrani ya punda, Mbowe ni muugwana na mtu wa shukrani hivyo leo Samia atashukuriwa.
P
Hahaha, ila Paskali!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom