Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Attachments

  • IMG_20230121_161122.jpg
    IMG_20230121_161122.jpg
    77.5 KB · Views: 2
Najiuliza kama ni Magufuli au Mwamposa angekuwa apo kungekuwaje?
Sio bure wana laana ya marehemu
 
Mwanza CHADEMA chaliiiii, nyomi waliotegemea hakuna tena
 
Duh!! Leo polisi watapata KAZI sana kuhakikisha watu wanarudi salama majumbani mwao sababu ya wingi wa watu.
Acha uongo. Angalia hapa chini wakipita mitaani kutafuta watu.....



 
Waafrika mnavituko kwa hiyo hapo kwa mawazo yako unadhani anaye loose ni Mbowe au Chadema
 
"Tuna madini tuna dhahabu lakini watu wetu ni masikini ni kwa sababu CCM wameshindwa kabisa, CCM ni sawa na darasa la saba na matatizo ya nchi hii ni ya chuo kikuu yanahitaji watu wenye uwezo huo kuyatatua" - @HecheJohn
 

Attachments

  • 20230121_164622.jpg
    20230121_164622.jpg
    57 KB · Views: 2
Binafsi huwa siangalii wingi wa watu bali nguvu za hoja masikioni mwangu na utekelezaji field fursa inapopatikana...., lakini SADLY am seeing none from both sides of the aisle
Ila sindio ninyi mlo sema Chadema ina watu?
Wingi wenu upo katika ID za Jamiiforums tu
 
Back
Top Bottom