Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Makamanda hatuipendi CCM maana ilishakuwa na moyo wa kifedhuli.

WanaCCM wana roho mbaya kama mbwa mwitu aliye ndani ya kundi la kondoo.

Leo hii wazazi wanashindwa hata kupeleka watoto shule kwa kukosa pesa ya sare za shule. Kaya zinashindwa hata kula milo miwili kwa siku.

Kundi moja tu la wanaCCM wanatafuna mali za umma kwa ujanjaujanja na ujuaji.

Alafu mwenyekiti wa chama chetu anakiri hadharani kuwa yeye yupo na hilo kundi la wanaCCM.

Makamanda tumeumia sana ila hatuna cha kufanya. Mbowe anaiona Chadema kama mali yake.
Acha mchezo na asali
 
Hahaha, Mkuu tukupe nchi utatue matatizo yote ya waTZ, hakuna nchi imekamilika kila kitu! Nyambaf
 
Makamanda hatuipendi CCM maana ilishakuwa na moyo wa kifedhuli.

WanaCCM wana roho mbaya kama mbwa mwitu aliye ndani ya kundi la kondoo.

Leo hii wazazi wanashindwa hata kupeleka watoto shule kwa kukosa pesa ya sare za shule. Kaya zinashindwa hata kula milo miwili kwa siku.

Kundi moja tu la wanaCCM wanatafuna mali za umma kwa ujanjaujanja na ujuaji.

Alafu mwenyekiti wa chama chetu anakiri hadharani kuwa yeye yupo na hilo kundi la wanaCCM.

Makamanda tumeumia sana ila hatuna cha kufanya. Mbowe anaiona Chadema kama mali yake.KUJENGA SHULE KILA KATA NI ROHO MBAYA, KUJENGA ZAHANATI KILA KATA NAKO NI ROHO MBAYA , KUJENGA BARABARA ZINAZOUNGA MIKOA SASAIVI KILA WLAYA TENA ZA LAMI NI ROHO MBAYA ,WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUPEWA MIKOPO BURE BILA RIBA NI ROHO MBAYA , TASAF KILA MWANANCHI ANAYESTAHILI NI ROHO MBAYA ,MADARAJA KILA KONA YA TANZANIA MENGINE HAYASHIKIKI KAMA AMANI ,UTULIV NA MSHIKAMANO WETU , SEMA SASA KAMA KUNYA MAMBO MAZURI NDO KUNATUFANYA TUWE WW ULIVYOSEMA
 
Back
Top Bottom