Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Kama umefuatilia hotuba nzima ya mbowe hapo furahisha Mwanza basi utakuwa unaungana namimi kuhusu hili suala.
Kweli asali haijawahi kumuacha mtu salama.

Ccm mbele kwa mbele

Uzi tayari
[emoji28][emoji28][emoji28]...mwenyekiti nadhani kalewa.
 
Baaada ya zuio la muda mrefu kufanya mikutano ya hadhara, Leo umefanyika mkutano wa Chadema ila nilifikiria hawa jamaa wangekuja na sera mbadala lakini leo ndio wameniangusha kuliko wakati wote.

Natangaza rasmi kuhamia CCM.
Hapo umefakisha mwana Yanga mwenzangu. Achana na wanzuki
 
Umefanya vyema kutuwakilisha physically
 
Huwezi kusema unahamia CCM wakati hujawahi Kutoka ccm
Kama mwenyekiti Mbowe kalamba asali Mimi ni nani nisiende kwenye asali?
Kwa hotuba ya Leo pale furahisha hiiiiii baghosha [emoji848][emoji848]
Acha niwatafutie wanangu asali
 
Baaada ya zuio la muda mrefu kufanya mikutano ya hadhara, Leo umefanyika mkutano wa Chadema ila nilifikiria hawa jamaa wangekuja na sera mbadala lakini leo ndio wameniangusha kuliko wakati wote.

Natangaza rasmi kuhamia CCM.
Unafanya jambo sahihi kabisa karibu sana.
 
Kama mwenyekiti Mbowe kalamba asali Mimi ni nani nisiende kwenye asali?
Kwa hotuba ya Leo pale furahisha hiiiiii baghosha [emoji848][emoji848]
Acha niwatafutie wanangu asali
Hajasaliti,

Yaeza kuwa maneno ya KASHFA yanamuumiza.

Bt kiongozi anatakiwa awe mvumilivu ngozi ngumu,

Hopping atarekebisha.
 
Anajua kilichompata kwenye biashara zake kipindi cha Magufuli. Sasa lazima ajishushe ili alambe asali na arudi bungeni 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…