Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Sasa itakuwaje na mataga walishasema ACT ndio chama kikuu cha upinzani?
 
Paskali kweli wewe si mwenzetu humu JF, yaani mambo ya mama kumpa hela Mbowe na Chadema ili waendeshe chama umeyajua! Hongera.
 
Baada ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Daktari Samia Suluhu Hasani kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa, leo chama cha CHADEMA kilifanya ufunguzi wa mikutano yake jijini Mwanza katika viwanja vya urafiki. Katika mkutano huo, viongozi wa CHADEMA walionyesha kupendezwa sana, na maamuzi ya Rais Samia hivyo kutumia muda mwingi kusifu utendaji wa serikali ya awamu ya sita, jambo ambalo halijazoeleka kwa siasa za upinzani Tanzania.

Mkutano ulianza vyema mpaka pale mwenye kiti wa chama alipoanza kutoa hotuba yake ya ufunguzi kwa chama hicho. Mwenyekiti alitoa hotuba ambayo haikutegemewa na wengi, alitumia muda mwingi kusifu serikali ya awamu ya sita huku sauti yake ikisikika kama ya mtu alielewa. Alishindwa kutamka vyema jina la chama chake badala ya "CHADEMA" alitamka "CHEDEMA", majina ya mikoa(badala ya "ARUSHA alisema ARUSHWA") na hata tarehe alikua hakumbuki.

Ilikua ni jambo jema kwa mwenyekiti kutambua na kupongeza juhudi za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita, kwa sababu hiyo ndio tafsiri ya siasa safi lakini Je? ilikua sahihi kwa kiongozi wa chama kuja amelewa kwenye mkutano.
 
Wanawake wachache wana akili ndogo kuasi hiki. Unaelewa usemalo?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Endelea kuwa mwanaharaki uchwara uliyejificha nyuma ya keyboard kujifanya mjuzi na wengine kuwaona magarasa.

Kilichotabiliwa ndicho kimetokea, unategemea nini kingine?
Hivi huu ulikuwa ni mkutano wa mbowe kujisafisha kuhusu tuhuma za kulamba asali?
 
Kwani wewe Mwanyika unamfahamu vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…