Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Ingia chadema in blood Instagram kama umewezeshwa bando ujionee mivideo ya watanzania wakimkaribisha mwenyekiti mwanza leo.[emoji1787][emoji1787]
Sasa niingie vipi wakati mimi nilikuwa mwanza na nimeona live. Umewahi kutumia msuba?
 
Watanzania Tumesikiliza Hotuba ya Mwenyekiti Mboe, Tumesikia akimsifia mama nakufumbia macho matatizo ya nnchi hii,Mboe haoni Ufisadi unaoendelea katika nnchi hii wala haoni Rasilimali zinavyochezewa,mfumuko wa bei wala Tatizo la umeme,Mboe haoni safari za Rais zilivyokidhiri wala haoni Tozo na deni la Taifa linavyopaa kwa kasi yeye anamshukuru nakumsifu mama

Hotuba yake imejikita kwa utetezi binafsi kuhusu kulamba Asali, hasa akiuaminisha Umaa yeye sio mlamba Asali kwa sababu katoka familia Tajiri.Kutokulamba Asali ni kusema matatizo ya waTanzania hadharani kukemea ufisadi,kushauri serikali kusimamia Rasilimali za Taifa. Bado Tunaamini Kamanda wa ANGA ni CHAWA namba moja wa Mama na amelamba Asali.

TANZANIA TUAMKE

''Wanaridhiana kumtawala maskini,
alafu maskini hajiulizi kwanini maridhiano ya siri''
 
Sasa niingie vipi wakati mimi nilikuwa mwanza na nimeona live. Umewahi kutumia msuba?

Punguza uongo unaleta picha za asubuhi hapa. Mlisema Hakuna mwenye muda wa kwenda kuwasikiliza CHADEMA, watu wameenda mmeanza fitina zingine. Kesho yupo Musoma.
 
Mbona hakukuua wewe na bado tunaleta mwingine akuchinje kabisa! Mwendazake anachukiwa na wezi, mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wenye vyeti fake waliofukuwa kazini. Sasa wewe utakuwa miongoni mwao hao. Lakini Watz waliowengi wapenda maendeleo wanampenda sana tu Mwendazake.
Hahahaa, kama mnampenda sana nendeni mkazikwe naye Chato
 
Ingia chadema in blood Instagram kama umewezeshwa bando ujionee mivideo ya watanzania wakimkaribisha mwenyekiti mwanza leo.[emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo hizo picha alizoweka ni uwongo!?
 
wewe leta ajenda acha kutuletea habari za awamu ya tano hazitusaidii kitu.

Rais kama Magufuli ndiye Rais tuliyekua tukimuhitaji na tunasikitika mpaka kesho kumpoteza.

unajua kilo ya Mchele imefika shilingi ngapi wewe ?
 
Kwa hiyo unamlaumu Mbowe kwa kupanda bei ya mchele au kushindwa kupigia kelele kupanda bei ya mchele?
Kama ni bei, hilo kailaumu CCM na serikali yake.

Kuhusu nini Mbowe akiseme au wapi Mbowe akisemee, hilo halikuhusu, sio jukumu lako. Muachie Mbowe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom