Hahaa yaani mchele kupanda Bei wanataka kulauma Chadema🤣🤣Kwa hiyo unamlaumu Mbowe kwa kupanda bei ya mchele au kushindwa kupigia kelele kupanda bei ya mchele?
Kama ni bei, hilo kailaumu CCM na serikali yake.
Kuhusu nini Mbowe akiseme au wapi Mbowe akisemee, hilo halikuhusu, sio jukumu lako. Muachie Mbowe mwenyewe.