Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

Binafsi huwa siangalii wingi wa watu bali nguvu za hoja masikioni mwangu na utekelezaji field fursa inapopatikana...., lakini SADLY am seeing none from both sides of the aisle
 
Ni upumbavu mkubwa na laana kwa yeyote kufanya sherehe afapo mtu hata kama mtu huyo ni kichaa,
Twaweza kuwa na adui na mtu maishani, lakini mtu huyo akifa, uadui na uishe" si kipindi tena cha kuendeleza uadui kiasi cha kufanya hata sherehe, wafanyavyo hivyo, hao sio watu kwani hata wanyama hawawezi fanya huo ujinga
 
Kwahiyo umeona uje kuwasemea huku wajuluo
 
Nilileta taarifa jana kuhusu kinachoendelea huko, Mimi nipo hapa na kusema ukweli hali ni Tete. Watu Hakuna kabisa. Nini kimetokea??
Picha nimepiga mwenyewe sasa hivi saa 9 kamili
View attachment 2490119
Laana haijawahi kumuacha mtu salama. Mtu mstaarabu hawezi furahia kifo cha mtu yyt yule. Na watu wastaarabu ndio wanasikilizwa
 
Nilileta taarifa jana kuhusu kinachoendelea huko, Mimi nipo hapa na kusema ukweli hali ni Tete. Watu Hakuna kabisa. Nini kimetokea??
Picha nimepiga mwenyewe sasa hivi saa 9 kamili
View attachment 2490119
Acha uongo we UvccM mpumbavu
Screenshot_20230121-153557.jpg
 
Binafsi huwa siangalii wingi wa watu bali nguvu za hoja masikioni mwangu na utekelezaji /field fursa inapopatikana...., lakini SADLY am seeing none from both sides of the aisle
Wewe ndio yule ulituaga dar kwa shingo upande unaelekea mazet kwenye mkutano wa chadema? Au nimekosea. 😎
 
Ni upumbavu mkubwa na laana kwa yeyote kufanya sherehe afapo mtu hata kama mtu huyo ni kichaa,
Twaweza kuwa na adui na mtu maishani, lakini mtu huyo akifa, uadui na uishe" si kipindi tena cha kuendeleza uadui kiasi cha kufanya hata sherehe, wafanyavyo hivyo, hao sio watu kwani hata wanyama hawawezi fanya huo ujinga
Mbona Lissu alipopigwa risasi mlishangilia in fact mwenyekiti wenu UVCCM alisema this time watatumia sindano sio bunduki?? Chuki mmeleta wenyewe Wacha wafurahie maana hakuna namna. Mwisho wa siku jamaa yupo kuzimu na kina Mbowe wanakula Bata so hata ulie lie hauwapunguzii chochote.
 
Nilileta taarifa jana kuhusu kinachoendelea huko, Mimi nipo hapa na kusema ukweli hali ni Tete. Watu Hakuna kabisa. Nini kimetokea??
Picha nimepiga mwenyewe sasa hivi saa 9 kamili
View attachment 2490119
Mimi sio mtaalam wa picha lakini hii picha inaonekana ni ya miaka ya nyuma.

Wewe endelea kuwa chawa wa Nikki wa pili ndiyo kazi unayoiweza.

Weka update ya mjengo wake wa ghorofa kama lishaisha.
 
Back
Top Bottom